Msaada: Njia za kufanya mtu kurefuka

Msaada: Njia za kufanya mtu kurefuka

mbiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2014
Posts
539
Reaction score
147
Habarini wadau,mimi ni kijana wa miaka 22,nilikuwa naomba msaada kama kuna dawa ya kurefuka urefu wa mwili,ninawezaje kurefuka,msaada wenu tafadhali?
 
Habarini wadau,mimi ni kijana wa miaka 22,nilikuwa naomba msaada kama kuna dawa ya kurefuka urefu wa mwili,ninawezaje kurefuka,msaada wenu tafadhali?
Thats is genetic brother. There is no kurefuka. That who you are. Jikubali kaka
 
wanawake wataka pochi mkuu sio huo urefu unaotaka maana ata twiga anao
 
Kunywa maziwa fresh angalau kikombe kimoja kila siku usiku...utarefuka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom