Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 7,177
- 13,182
Ni wazi kwamba sisi wanadamu tunapokula vyakula mbalimbali huwa tunapata virutubisho mbalimbali kama vile vitamini, protini, madini, nk kutoka katika vyakula hivyo. Je, hata wanyama nao tunapowalisha vyakula hivyo huwa wanapata virutubisho hivyo kama sisi wanadamu? Maana nimeona mbwa wangu anapenda sana kula matunda kama papai na parachichi.
Na je, tiba tunazotumia sisi wanadamu huwa zinaendana na wanyama? Kwa mfano mbwa au nyau akiwa anaharisha ninaweza kumpatia Flagil (metronidazole) na zikamsaidia kama zinvyotusaidia sisi wanadamu?
Naombeni ufahamu juu ya hayo.
YESU NI MWOKOZI