Vamigo
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 457
- 1,002
Jana Usiku niliinama chini kubeba kereti la soda, wakati nainama niliinama ki ubavu ili nilibebe kwa mkono mmoja maana lilikua tupu.
Wakati nainama sehemu ya ubavu wangu wa kulia kwa ndani pakashituka nikaanza kuhisi maumivu ya ndani kwa ndani hali hii imepelekea usiku kuto pata usingizi vizuri kutokana maumivu.
Asubuhi nimeamka nikawa nahisi maumivu kwa mbali, ila Leo saa 6 hivi nilikuwa nageuka kuchukua kitu kilichokua pembeni yangu Tena nikahisi mshituko ni kama vile nimepatonesha pale pa Jana.
Nawezaje kujitibu Hili tatzo bila kwenda hospital maana kiuchumi sipo vizuri asee.