Msaada hili tatizo

Msaada hili tatizo

Olsea

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2012
Posts
473
Reaction score
297
Habarini Wakuu, naomba msaada juu ya hili..Nina huyu Girlfriend wangu akiwa anakribia zile siku za kuingia mwezini wakati wa sex huwa anatoa maji mengi sana ambayo ni meupe kabisa kama maji.

Je, hali hiyo ni kawaida? na kama sio kawaida tiba yake ni ipi?
 
Nimetoka hili eneo haraka sana. Panya road huku hatari.
 
Back
Top Bottom