Hii kama haileti kansa, mniite mbwa, niko humu humu jukwaaniMsaada Kwa aliye zijaribu hizi bidhaa.View attachment 2370946View attachment 2370947View attachment 2370948View attachment 2370949View attachment 2370950
Kitunguu maji unakifanyaje?Hiyo ya kiwandani nna mashaka nayo bora kutumia kitunguu maji asee
Mkuu nnavyojua mimi kuna aina 3 za vipara ,cha hela cha uchawi,na cha elimu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huku kwetu kipara ni dalili ya usomi na kina heshima zake.
Chukua mafuta ya nyonyo ya kienyeji na mafuta ya sulphur uchanganye pamoja vizuri kabisa alafu tumia kupaka kichwa kizima miez 2..3 vitunguu vinatibu pia kwa kuwa unakikata alafu unapakaa eneo husikaKitunguu maji unakifanyaje?