Msaada: Kichwa cha mtoto kimekaa vibaya

Msaada: Kichwa cha mtoto kimekaa vibaya

Fuqin

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2018
Posts
306
Reaction score
629
Natumai wazima wadau. Naomba msaada wa mawazo kichwa cha mwanangu wa miezi 6 kimekaa vibaya kama hapo kwenye picha. Wapi naweza kupata msaada wa kuweka sawa au nini nifanye.

images%20(30).jpg
 
Wachina huwa wanawavisha ni watoto helmets ili wawe na vichwa vya mviringo, kwa Wachina kichwa cha mviringo ndio kizuri. Wazenji huwa wana namna yao kuzuia mtoto asiwe na kichogo.

Kati ya hizo mbili naamini mojawapo inaweza kuleta matokeo. Fuatilia uko
 
hizo helmet nitapata wap?
 
Natumai wazima wadau... naomba msaada wa mawazo kichwa cha mwanangu wa miezi 6 kimekaa vibaya kama hapo kwenye picha... wapi naweza kupata msaada wa kuweka sawa au nini nifanye...

View attachment 2356828
saba za kichwa hivyo uenda kipnd cha kujifungua uchu ulichelew ukapat tatizo la obstructed laboir ambapo mtoto anshindwa kutka mapema kwa sabb uchungu umechelew au umeisha sababu inay pelekea kichw cha mtot kubanwa ndan ya uke kitaalam ina itwa caput succecedenun.( nadhan kam sabab ni hii alivyo zaliw uligundua? Channz)

Sabab y pili ni mtot kipind anazaliw alizaliw hvyohvyo ambpo kitaalam waanasem alizalew n cphaloblatoma yaan maji yalijaa sehem y fuvu na kusababsha kichwa kuw hvyo.mara nying watoto wanazaliw hvyo iliikifik miak miwil wanapon mwili unarecover wenyew.

Ikukatishi tamaaa ila. Haiwezekan mtoazaliw fuvu l kichwa lpo hvy kama sio sabab y 2. Bas jarib kukumbuk kipind ch ujauzito clinic uliend na daw ukunyw vzr, ulijifungua kw njia gani? Uchungu ulichelew,kuchanikk sehem z siri au kutokw n damu nyngi wakati w kujifungua? Au ulipigw na kit tumbon wakat w ujauzito. Lazim kuw n shida mahali.

Au kun kitu kinaitw cerebral pulsy ambap mtoto anazaliw ambapo miguu au mikon inakakamaa au ialegea sana napo waga wanazaliw na vchwa vy namna hio( mfano kam ushaon mtoto aliezaliw na ulemavu wakushndw kutembea bila tatzo llte ukuji wak waga unachelew.

Kwa harkharak matibabu yke ni ushauri nasah kwa mama amkubal mtoto kama alvy ili mtot atengenz bond na mma iaymsaisia na ukuaji
Tukisema opareshn labd nchi z wengn ila mpk atakapo kua mkubw .ila nawezw kupgw xray,MRI au CT scan kuon kchw kinshd gn?

Sema ch msng ingebdi kuhojiana san kipind cha ujaozit na lknd ch kujifungua ndio nawez kubain ttzo au chnz n nn?
 
saba za kichwa hivyo uenda kipnd cha kujifungua uchu ulichelew ukapat tatizo la obstructed laboir ambapo mtoto anshindwa kutka mapema kwa sabb uchungu umechelew au umeisha sababu inay pelekea kichw cha mtot kubanwa ndan ya uke kitaalam ina itwa caput succecedenun.( nadhan kam sabab ni hii alivyo zaliw uligundua?? Channz)
sabab y pili ni mtot kipind anazaliw alizaliw hvyohvyo ambpo kitaalam waanasem alizalew n cphaloblatoma yaan maji yalijaa sehem y fuvu na kusababsha kichwa kuw hvyo.mara nying watoto wanazaliw hvyo iliikifik miak miwil wanapon mwili unarecover wenyew
Ikukatishi tamaaa ila. Haiwezekan mtoazaliw fuvu l kichwa lpo hvy kama sio sabab y 2 . Bas jarib kukumbuk kipind ch ujauzito clinic uliend na daw ukunyw vzr, ulijifungua kw njia gani? Uchungu ulichelew,kuchanikk sehem z siri au kutokw n damu nyngi wakati w kujifungua? Au ulipigw na kit tumbon wakat w ujauzito. Lazim kuw n shida mahali.
Au kun kitu kinaitw cerebral pulsy ambap mtoto anazaliw ambapo miguu au mikon inakakamaa au ialegea sana napo waga wanazaliw na vchwa vy namna hio( mfano kam ushaon mtoto aliezaliw na ulemavu wakushndw kutembea bila tatzo llte ukuji wak waga unachelew.
Kwa harkharak matibabu yke ni ushauri nasah kwa mama amkubal mtoto kama alvy ili mtot atengenz bond na mma iaymsaisia na ukuaji
Tukisema opareshn labd nchi z wengn ila mpk atakapo kua mkubw .ila nawezw kupgw xray,MRI au CT scan kuon kchw kinshd gn ?
Sema ch msng ingebdi kuhojiana san kipind cha ujaozit na lknd ch kujifungua ndio nawez kubain ttzo au chnz n nn?

Daah! Nimeshindwa kuusoma huu mwandiko!
 
Kiache akina shida akikua kinakaa vzr chenyewe kuwa na amani hata mimi mtoto wangu wa kiume alizaliwa alikuwa hivyo hivyo ilq badae kichwa kilikaa vzr tuu chenyewe...
 
Alizaliwa hivyo au kimebadilika huku ukubwani? Amezaaliw hvyohvyo
Amezaliwa hvyohvyo. Sabab inawez kuwa??

1. Cerebral polsy: kwa kitalaam mtoto anazaliw na kichw kama hpo kwenye pcha lakin kweny mikono au miguu nayo inakuwa lelgelege hvi. Sjajua hyo mdogo wetu ni kichwa tu au miguuu na mikono ina changamoto

2. Caput succedenum: hapa kitaalamu mama wakati wa kujifungua uchungu ulichelewa ambapo ikasababisha tatzo linaitwa obstructed labour ambapo mtoto anachelew kutoka tumbon kwa mama hivyo kichwa kinabanw na uke pamoja na mishipa ya uzazi na kupelekea kchwa kuwa cha namna hio. Tatizo hili mtoto waga anapona mwenyew siku5 baada ya kuzaliwa
Hpa mama atakuwa na maelezo kama alipata ttzo la uchungu wakati anajifungua??

3. Cephaloblastoma,: ni tatizo ambalo kichwa cha mtoto hua kianavmba kwasababu kimejawa na damu iliyo vuja kutoka kwenye mishipa ya fuvu . Maana muda mwingine mishipa inapasuka na kumwaga damu sasa ile damu inafanya kuwe na uvimbe kichwani. Tatizo hli mtoto upona nda ya wiki 4 mpka sitabaada ya kuzaliwa

4. Subgaleal haemorrhage: hili ni tatiz kama la 3 ambpo na penyew mishipa ya kichwa ilivuja imesababsha kichwa kucimba. Ila hapa sanasana upande wa paji la uso
Tatzo 2.3.4 yote mtoto upona polepole anapokuwa haiitaji upasuajii.

Matibabu ni ushauri nasaha ilimzazi amlee mtoto wake ili mtoto apate kukua vzur mwili ujengeke vzuri kupamna na tatzo lake. Hakikisha ananyonya vzuri , haugui mara kwa mara . Jitaidia sana hasipate utapiamlo
 
nimejitahidi kuandka vzuri na kutumia lugha ambyo mtu yyte ata elewa isio ya kitaalam zaidi.
Kama kuna shida nirudie tena.
 
saba za kichwa hivyo uenda kipnd cha kujifungua uchu ulichelew ukapat tatizo la obstructed laboir ambapo mtoto anshindwa kutka mapema kwa sabb uchungu umechelew au umeisha sababu inay pelekea kichw cha mtot kubanwa ndan ya uke kitaalam ina itwa caput succecedenun.( nadhan kam sabab ni hii alivyo zaliw uligundua?? Channz)
sabab y pili ni mtot kipind anazaliw alizaliw hvyohvyo ambpo kitaalam waanasem alizalew n cphaloblatoma yaan maji yalijaa sehem y fuvu na kusababsha kichwa kuw hvyo.mara nying watoto wanazaliw hvyo iliikifik miak miwil wanapon mwili unarecover wenyew
Ikukatishi tamaaa ila. Haiwezekan mtoazaliw fuvu l kichwa lpo hvy kama sio sabab y 2 . Bas jarib kukumbuk kipind ch ujauzito clinic uliend na daw ukunyw vzr, ulijifungua kw njia gani? Uchungu ulichelew,kuchanikk sehem z siri au kutokw n damu nyngi wakati w kujifungua? Au ulipigw na kit tumbon wakat w ujauzito. Lazim kuw n shida mahali.
Au kun kitu kinaitw cerebral pulsy ambap mtoto anazaliw ambapo miguu au mikon inakakamaa au ialegea sana napo waga wanazaliw na vchwa vy namna hio( mfano kam ushaon mtoto aliezaliw na ulemavu wakushndw kutembea bila tatzo llte ukuji wak waga unachelew.
Kwa harkharak matibabu yke ni ushauri nasah kwa mama amkubal mtoto kama alvy ili mtot atengenz bond na mma iaymsaisia na ukuaji
Tukisema opareshn labd nchi z wengn ila mpk atakapo kua mkubw .ila nawezw kupgw xray,MRI au CT scan kuon kchw kinshd gn ?
Sema ch msng ingebdi kuhojiana san kipind cha ujaozit na lknd ch kujifungua ndio nawez kubain ttzo au chnz n nn?
Una vya kueleza vizuri Ila mwandiko wako au maandishi yako Kama umesoma memkwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom