Mtuache
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 251
- 638
Habari wana wa Jamii Forums
Mimi nimekuwa nikitatizwa na jambo moja ambalo linaniumiza sana kichwa. Mara nyengine nawaza labda ni kawaida kila mwanaume linamtokea
Mimi kila ninapokula chakula na nikashiba lazima uume usimame. Tena unasimama haswa si mchezo na inaweza simama hata nusu saa haijashuka.
Hili tatizo nimekuwa nalo miaka nenda rudi, mwanzo nilichukulia poa ila lilitaka kuniaibisha mara kadhaa. Msiban, kwenye sherehe, kanisani yaan hadi nyumban.
Je.!!? Wanaume wenzangu na nyie mko hivyo hivyo? Kama ni tatizo basi ni tatizo gani? Na nifanye nini? Kama kuoa nimeoa na nina mtoto mmoja
Nawasilisha,