Unapojiuliza nitawezaje kuishi na figo? Au kuna madhara gani kuishi figo moja
Jibu Ni hili Hakuna Shida yoyote kwani kuna watu walizaliwa na figo moja na wanaishi vizuritu.
Jambo la muhimu Ni kua...
Habarini Wana JF.
Naomba msaada kuna ndugu yangu anasumbiliwa na ganzi hasa mikononi miguuni.
Na mara inamtokea wakati wa usiku, na wakati mwingine inaambatana na maumivu ya kichwa.
Hali hiyo...
Msaada Drs..
Uume wangu ulianza vipele baada ya kunyoa baada ya Hapo vikaleta vidonda nikaenda duka la dawa nikapewa fluconazole tabs na sonaderm cream nikatumia vimekauka sasa vimeleta vitu...
Wadau salama,
Nina swali kidogo hapa nahitaji msaada! Je, kulala katika zulia/carpet kwa muda mrefu kunaweza kuwa na madhara huko mbeleni ya kiafya?
Nawasilisha
Serikali ya Tanzania imesema, inafanya ukaguzi maalumu ili kubaini iwapo aina nne ya dawa zilizopigwa marufuku na Shirika la Afya Duniani (WHO), zimeingia katika mzunguko nchini humo.
Jana...
Nauliza tu kwa nyie wanajamii wenzangu, hivi hii inasababishwa na nini asubuhi kuamka kwenda kazini yaani uvivu wa ajabu yaani natamani kurudi kitandani nilale.
Kuna muda nilidhani labda...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetoa tahadhari ya Kimataifa kuhusu Dawa za ( Promethazine Oral Solution, Kofexmalin Baby Cough Syrup, Makoff Baby Cough Syrup na Magrip N Cold Syrup) baada ya...
Sumu ya chakula (Food poisoning) ni tatizo linalosababishwa na ulaji wa chakula kichafu kilichobeba vimelea vya magonjwa hasa bakteria na virusi, au sumu zake.
Vimelea hivi pamoja na sumu zake...
Habari zenu wakuu?
Nina tatizo la kukohoa kwa muda mrefu nilienda hospital wakanipima makohozi kuangalia kama Nina tb lakini sikuwa nayo wakanipiga xray ya kifua wakaniandikia dawa za pneumonia...
Wasalaam wadau naombeni ushauri, nina mdogo wangu wa kike yupo kidato cha nne sasa amekuwa akisumbuliwa na kikohozi kikavu(kisicho na makohozi) tangu mwezi february.
Baada ya kumpeleka hospitali...
CPR, ama Cardiopulmonary Resuscitation ni njia ya dharura na haraka, inayotolewa kwa mtu aliyepatwa na changamoto ya mshtuko wa moyo (Cardiac arrest).
Huhusisha kubonyeza kifua pamoja na kutoa...
Figo hufanya kazi ya kuchuja damu kwa kuondoa maji na uchafu.
Aidha, hufanya kazi za kuweka uwiano sawa wa tindikali na alkali za damu, kutengeneza sukari kwenye nyakati ambazo mwili wa...
MAAJABU YA KARAFUU (SYZYGIUM AROMATICUM) KUTIBU MAGONJWA MBALIMBALI.
Karafuu pamoja na Unga wa karafuu
Karafuu ni tumba lililokauka la maua yasiyofunguka yanayopatikana kutoka...
Habari wakuu
Kiuhalisia namshukuru Mungu sana kwa kunitoa kwenya kifungo cha kupiga punyeto kilichodumu miaka (2011 - 2021)
Kiuhalisia safari ilikuwa nzuri hapo mwanzo na niliona ni hali ya...
Pengine umewahi kuwaza kwa nini baadhi ya wanawake wajawazito hupenda sana kula udongo, barafu, magodoro, nguo, sabuni, karatasi au vitu vingine visivyo chakula? Kitendo hiki kitaalamu huitwa...
Jamani naombeni msaada kwa mtu kama alishapata tatizo kama langu napata maumivu ya ngozibkwnye mapumbu to inakua na maumivu bado sijapata dawa hapawashi ila maumivu kama kunawekundu kama kumeungua...
Habari wana jf, poleni na majukumu. Nimefikwa na jambo linalo nitatiza ikabidi niwakimbilie kupata msaada.
Hivi karibuni nimepata mwanamke ambaye ameonesha upendo mkubwa na kunijali sana ila kuna...
Salaam.
Walevi wenzangu mpo,
Eeh bana eeh nimekuwa mara nyingi nikichanganya energy drink na konyagi, sasa nimeambiwa hiyo kitu ni hatari.
Sasa nipeni kinywaji mbadala ambacho nitakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.