Kupona UTI kwa kitunguu saumu

Kupona UTI kwa kitunguu saumu

Benokolongokonongose

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2012
Posts
213
Reaction score
53
Salaam JF!
Nashukuru nimepona UTI kufuatia uzi fulani wa DR. MZIZIMKAVU wakati fulani akatufundisha kutibu fangasi wa aina zote kwa kutwanga kitunguu saumu na kukiweka kwenye kijiko cha chai na kuweka maji ya uvuguvugu. Binafsi nilifanya kwa siku 3 baada ya kuona nawashwa sana ukeni bila mwisho. Nikajua mh hizi ni fangasi. Kwa hiyo nimekaa sawa sasa. Asante sana JF-Drs.
 
naomba mnieleweshe maana hiyo post sikuiona, kama unaweza kurudia jinsi ya kufanya hicho kitunguu saumu unielezee vizuri please.
 
naomba mnieleweshe maana hiyo post sikuiona, kama unaweza kurudia jinsi ya kufanya hicho kitunguu saumu unielezee vizuri please.

Nashindwa jinsi ya kuitafuta humu lakini nakumbuka Dr. MziziMkavu alitoa maelekezo mepesi sana na rahisi kama:
1. Menya kitunguu saumu na ukitwange kisagike vema
2. Weka kwenye kijiko na utie maji ya uvuguvugu na unywe
Utaona tumbo linatibuka na unapaswa utulie tu baada ya mda linakaa sawa.
Anayejua jinsi ya kuuleta ule uzi audondoshe hapa.
 
uti ni kuwashwa ukeni???
 
DAWA YA KUONDOSHA MINYOO NA FANGASI WA AINA YOYOTE ILE TUMIA KITUNGUU SAUMU.

800px-Italian_garlic_PDO.JPG

Nunua kitunguu swaumu.Menya chote kama vile uandaavyo kwa ajili ya kupikia.Twanga ama saga,vikishasagika

changanya na maji ya uvuguvugu kidogo kipimo cha kijiko cha chai ili vilainike.Chota msagiko wote wa vitunguu na

uvimeze.

Tahadhari,jitahidi uwe na mfuko ama sehemu ya maliwatoni maana kama hauna tumbo zuri unaweza tapika.(Mara

chache sana hutokea kutapika)

Ukishakaa kama dk 15 hali yako itarudi kawaida.Baada ya SIKU 1,utaona minyoo hakuna tena na fungus wote

wamekauka!Kwisha kabisa!!!!

Pia kama una presha ya kushuka usitumie hii dawa maana huwa inashusha sana presha,labda unywe na kahawa baada

ya kuinywa dawa hii ili kuipandisha tena presha!
Mukipona musikose kuleta Feedback.
 
Samahani mzizi mkavu kuna ndugu yangu anasumbuliwa na fangasi na ni mjamzito kama miezi mi 5 je anaweza 2mia hiyo dawa ya kitunguu swaumu haitokuwa na tatizo lolote? Nisaidie mkuu
 
Samahani mzizi mkavu kuna ndugu yangu anasumbuliwa na fangasi na ni mjamzito kama miezi mi 5 je anaweza 2mia hiyo dawa ya kitunguu swaumu haitokuwa na tatizo lolote? Nisaidie mkuu
Kwa Mwanamke mwenye

mimba hawezi kutumia kitunguu saumu kwa kukila kitaweza kumletea madhara ya Kichefuchefu, Kutapika na

kuharisha. Bora aende Hospitali watampatia Dawa za aina ya
(Antifungal na/au Antibacteria ). Au Atumie njia ya

kujipaka

hicho kitunguu saumu badala ya kukila afanye hivi:

(1) Ponda vitunguu saumu, changanya na ndimu halafu apakae Sehemu zote zilizoathirika, asiogope haiwashi hivyo.

(2) Kama umeolewa acheni kuingiliana mpaka ahakikishe amepona.
 
Hivi ndivyo fangasi wanavyoshambulia sehemu za siri..!!

LEO tuangalie fangasi wanaoshambulia sehemu za siri, yaani Tinea cruris. Aina hii ya fangasi ndiyo inayofahamika na Watanzania wengi zaidi ya aina nyinginezo na waathirika huwashwa sana sehemu za siri.

​
526-2Tinea_corp1.jpg

Dalili zake

Kuna dalili nyingi sana za ugonjwa huu lakini kubwa kuliko zote ni kuwa fangasi hawa huambatana na muwasho mkali wa eneo lenye maambukizi hasa sehemu za siri, rangi ya ngozi ya eneo lenye maambukizi hubadilika na kuwa na muundo wa duara, mfano wa sarafu.
Dalili nyingine ni ngozi kukauka kisha kubanduka, na kama mgonjwa asipopata tiba mapema basi atatokwa na majimaji kwenye eneo la ngozi lililoathirika pamoja na kutoka kwa harufu mbaya kwenye eneo hilo.

UNAVYOAMBUKIZWA

Kuna njia nyingi zinazoweza kusababisha uambukizi wa maradhi haya, lakini ili uambukizaji huu uwezekane lazima kuwe na mazingira rafiki ya kuwezesha fangasi kuishi na kuhama kwa urahisi.

Mazingira haya rafiki kwa kuruhusu fangasi hawa kuweza kutoka kwa mtu mmoja au sehemu moja ya mwili kwenda kwa mwingine huhitaji uwepo wa hali ya joto pamoja na majimaji sehemu iliyoathirika na

maambukizi hutokea kwa kugusana na mtu aliye na maambukizi tayari.

Mtu anaweza kupata maambukizi ya fangasi hawa kwa kushirikiana kimapenzi na mwenzake aliye na

ugonjwa au kwa kushirikiana mavazi na mtu aliyekwisha pata maambukizi au kushirikiana taulo au hata

sabuni na vifaa vya usafi wa mwili kwa mtu zaidi ya mmoja.

Watu ambao huweza kupata maambukizi ya fangasi wa sehemu za siri ni wale wanaofanya kazi

zinazohusisha ukaaji kwenye maji yaliyotuama kwa muda mrefu, wanaoshiriki mapenzi na wenza wenye

maambukizi ya fangasi hao na wote ambao wana fangasi za kwenye vidole kwani fangasi wale wanaweza

kuhamishwa kupitia kwenye kucha na kuhamia kwenye eneo hilo la siri.

-Wengine wanaoweza kupata maradhi haya ni wale wanaofanya usafi wa mwili kwa kutumia maji yaliyobeba

vimelea vya fangasi hao, wasiojikausha vizuri maungo ya sehemu za siri, watu wenye maradhi

yanayosababisha kushuka kwa kinga, hususan kisukari, wanaovaa nguo zaidi ya moja hali inayosababisha

mwili kushindwa kupunguza joto lake hivyo kutoa jasho, wanaovaa nguo za kubana sana hasa zile

zinazobana sana kwenye maeneo ya maungo ya siri na wenye unene wa kupindukia;

Lakini watu wanaokunywa dawa za kuua vimelea (antibiotics) kwa muda mrefu au wenye ujauzito ambao

huchangia kushuka kwa kinga ya mwili nao wanaweza kupata ugonjwa huu
 
Duuh huo mguu hv watu kumbe wanateseka hivi,dah poleni,All in all ukiwashwa wahi kwa gynaecologist kuliko kukaa kimya
and MziziMkavu be blessed
 
Last edited by a moderator:
Mkuu MziziMkavu hiyo dose ya vitunguu swaumu inatumika kwa muda gani???
Bibie Unatumia kwa muda wa siku 3 au siku 7 utakuwa umekwisha pona jaribu kisha uje unipe Feedback Kama ni kitunguu Saumu kizima kimoja unakula kwa kila siku Asubuhi kabla ya kula au kunywa kitu lakam utakuwa unakula Punje 2 utakuwa unakula kila siku asubu7hi punje 2 na mchana punje 2 na usiku punje 2 kwa muda wa siku 3 au siku 7 utakuwaumekwisha pona inshallah.
 
Mkuu MziziMkavu samahani kwa maswali mengi, niliwahi kutumia dose hiyo kwa kusaga kitunguu swaumu kizima na kumeza kwa maji. Wacha nikisumbue mpk nikahisi kufa kufa.....

Je nikitumia punje sita mara moja kwa siku kuna ubaya??
 
Last edited by a moderator:
Mkuu MziziMkavu samahani kwa maswali mengi, niliwahi kutumia dose hiyo kwa kusaga kitunguu swaumu kizima na kumeza kwa maji. Wacha nikisumbue mpk nikahisi kufa kufa.....

Je nikitumia punje sita mara moja kwa siku kuna ubaya??
Hakuna Ubaya ila itakubidi utumie kwamuda wa siku 14 au siku 21 inategemea una maradhi gani mwilini mwako?
 
Back
Top Bottom