Wataalumu hii inasababishwa na nini eti

Wataalumu hii inasababishwa na nini eti

Brown Mduma

Senior Member
Joined
Sep 29, 2020
Posts
187
Reaction score
310
Nina mpenzi wangu huwa mara nyingi ninaposex nae analalamika kwamba anaumia tumbo asa sijui kwasababu nampelekea moto harakaharaka yaan nakuwa na speed wakati na sex nae au ni mkao ninaomuwekaga ambayo namvuta hadi kwenye ukingo wa kitanda afu miguu yake naiweka mabegani afu shughuli ndio ianze huwa naunga hadi cha pili so inachukua kama lisaa na dk kadhaa ndio tupumzike..... sasa najua umu kuna wataalamu wengi naweza pata majibu sahihi
Screenshot_20220919-170447~2.jpg
 
Halafu nisaidie na mimi ulitoa wapi dawa ya kupelekea moto mbn mm nashindwa
 
NAKITU NIWEKE WAZI HAPA INAONEKANA MAUMBILE YAKO NI MAREFU YANAPELEKEA KUGUSA MLANGO WA UZAZI (cervix). BADILI STYLE MAANA MAPENZI SIO VITA NDUGU NI STAREHE. Kama unapenda kufanya hivyo tafuta mpenzi mwenye maumbile yanayo kumudu ila kwa huyo mpenz wako unamuumiza.
Kuhusu UTI sio kweli maana hata mimi na experience na hili nalaumiwaga sana hasa style ya kuchora 7; nimeamua kusikiliza hivyo huwa narudi nyuma kidogo ili kupunguza urefu asije akaumia.
 
Back
Top Bottom