TATIZO LA KUTOKWA USAA KWENYE KITOBO JUU YA SIKIO

Gen. kasavubu

JF-Expert Member
Aug 15, 2015
239
500
Natumai wote ni wazima
Nilizaliwa upande mmoja wa sikio kwa juu nje kuko na kitobo Kama mtu aliyetobolewa kwa ndani ivi natumai mlishakutana na aina ya watu Kama hao wengine wanakua ni pande zote mbili wanakua navyo hivyo vitobo juu nje ya sikio.
Sasa shida niko nayo ni kwamba toka niko mdogo mpk navoandika hapa iyo sehemu ya sikio imekua ikiwasha kwa ndani ya icho kitobo Tena mara kwa mara na huwa napafikicha na kutoa Kama usaa japo huwa kidogo na mara nyingi pamekua mpk panavimba kidogo kutokana na kupafikicha.
1. Sasa nilikua nataka kufahamu Kama Kuna watu waliozaliwa ivo na wamepata kutokewa na shida Kama iyo na je Kuna hatua yoyote walioichukua na iliyoweza kuwasaidia ilo tatizo la kuwashwa kwenye iyo sehemu kuweza kuisha
2. Kama Kuna mtu anafaham iyo sababu basi anieleweshe inatokana na Nini na jinsi ya kutibu ilo tatizo.
N.B: Kiukweli sijawai kwenda hospitali kufahamu zaidi kuhusu ili tatizo nililonalo
Natanguliza shukrani na kukaribisha michango yenu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom