Mchanganyiko wa dawa za Ibuprofen na Codeine unavyohatarisha maisha
Kumeza dawa ambazo inachanganya ibuprofen na codeine inaweza kuwa sumu.
6 Oktoba 2022
Shirika la Ulaya la madawa la Ulaya...
Takwimu za Shirika la Afya Duniani (WHO) zinaonesha uwepo wa watu takriban bilioni 2.2 wenye changamoto za macho zinazohusisha upofu na uoni hafifu.
Kwa kiasi kikubwa, changamoto hizi zinaweza...
Mitishamba ipo na huwa inafanya kazi.
Mitishamba ilitumiwa na mababu zetu enzi na enzi na ndio maana walikuwa na wake zaidi ya wawili na shoo za ukweli zilipigwa.
Leo hii nashangaa kawama...
Kwa kiasi kikubwa, vijiwe husababishwa na kukosekana kwa usawa wa maji, madini na tindikali mwilini, ambayo kitaalam huitwa electrolyte imbalance.
Kuna magonjwa kadhaa ambayo husababisha kwa...
Haushauriwi kujifungia chumbani ukiwa unalala au wakati wa kupika chakula wakati unatumia jiko la mkaa.
Aina hii ya jiko huzalisha gesi yenye sumu inayoitwa Carbon monoxide (CO) ambayo huufanya...
Ikiwa 'umeuza' mechi au kondomu imepasuka, basi usihamaki kwea bodaboda fasta wahi hospitali ya karibu na jipatie PEP kwa siku 28 na utakua safi.
TAHADHARI: Utapewa PEP baada ya kupimwa HIV na...
Katika taarifa yake, Shirika hilo limesema Afrika ina nchi 6 kati ya 10 zenye viwango vya juu zaidi vya watu kujiua duniani kote ambapo tatizo la Afya ya Akili huchangia hadi 11% ya sababu za...
Mabadiliko makubwa ya mfumo wa homoni pamoja na kasi ya ukuaji wa mtoto ambayo huleta mgandamizo kwenye tumbo la chakula ni mambo mawili yanayosababisha kutokea kwa tatizo la kiungulia kwa...
Juzi kati nilikua nimekaa maeneo flani na washkaji!!. Ktk piga piga stori tukajikuta tumezama kwenye ishu ya ushoga na hii ni baada ya jamaa mmoja kipande cha mtu kukatiza karibu na meza yetu.
Mi...
Katika kipindi hiki; kipindi cha mtandao wa intaneti mambo yamebadilika sana kiasi kwamba mtu akiwa na simu au kompyuta yake anaweza kuingia mtandaoni kwenye kila tovuti na kurasa kupitia simu...
KUNA baadhi ya mambo ambayo mara nyingi ukiyafanya huwa ni lazima ufupishe maisha yako kwa namna moja au nyingine. Hii yote huwa inatokana na aina ya maisha uliyoyachagua, ambayo huwa ni hatari...
Upungufu wa damu (Anemia) wakati wa ujauzito ni tatizo linalo wapata wanawake wengi.
Tatizo hili huwaongezea hali ya kujisikia uchovu, kupauka kwa rangi ya ngozi, maumivu ya kichwa pamoja na...
Je, kuna mahusiano au uhusiano wowote kati ya tatizo la upungufu wa damu kwa wanawake walio kwenye umri wa kuzaa (miaka 15 mpaka 49), kwa wanawake wajawazito, tatizo la vifo vitokanavyo na uzazi...
Wanna Jukwa La Jamii Forums naombeni msaada sijui nifanye nini juu ya meno yangu kwasababu yanazidi kutoboa na kupuputika na kuisha kabisa linabaki pengo tuu mwenyewe sijui chochote juu ya kuzuia...
Nenda kachemshe bamia, hakikisha hutii chumvi kabisa au tia kidogo tu kama huwezi kula bila chumvi.
Chemsha kidogo (isibadilike rangi).
Kula kabla hazijapoa kabisa. Fanya hivyo kwa siku 12-16...
Idadi ya watu wanaougua au kufariki kwa ugonjwa wa saratani ya Ini wataongezeka kwa hadi zaidi ya asilimia 55 ya kiwango cha sasa ifikapo mwaka 2040 iwapo jitihada za haraka hazitafanyika...
Habari wadau wenzangu wa Jf.
Kuathirika sio mwisho wa maisha kwakuwa kuna watu wameathirika na wanafanya shughuli zao kwa Amani Kabisa.Wanafanya biashara wanafanya kazi serikalini. Wanasoma shule...
Watafiti nchini Uganda wanasema virusi vya Ebola vinavyosambaa nchini humo vimebadilika.
Prof Pontiano Kaleebu wa Taasisi ya Utafiti wa Virusi vya Ebola aina ya Sudan anasema hata hivyo hakuna...
Idadi hiyo imetajwa katika Idara ya Huduma za Nje ambapo kati yao, Wagonjwa 30 hadi 70 hupewa Matibabu na kuondoka huku Wagonjwa 9 hadi 15 wakilazwa.
Daktari wa Vyanzo vya Akili, Veronica Lyimo...
Asilimia 30 ya maduka ya dawa za binadamu Kanda ya Ziwa Magharibi yanadaiwa kuuza dawa za kuongeza nguvu za kiume ambazo hazijasajiliwa pamoja na dawa za kuharibu vichocheo (hormones) kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.