BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,861
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema mikoa ya Kagera, Mwanza, Kigoma, Geita na Mara iko hatarini zaidi kutokana na kuwa jirani na nchi ya Uganda ambayo imekumbwa na Virusi hivyo.
Pia, ameitaja mikoa ya Dar Es Salaam, Arusha, Kilimanjaro, Songwe, Mbeya na Dodoma kuwa katika hatari kwa sababu ya uwepo wa viwanja vya ndege na vituo vikubwa vya mabasi.
Hata hivyo Waziri Ummy amesema hadi sasa hakuna mgonjwa wa Ebola nchini, lakini wananchi wanapaswa kuchukua hatua na kuhakikisha ugonjwa huu hauingii nchini.