Habari za wakati huu wapendwa,Naomba niwaelezee tatizo langu pengine mnaweza kunisaidia Nina shida moja sijui ni aleji ama ni nini maana niliwai enda hosptal ya wilaya hawakuona tatizo,pia kipato...
AINA ZA NGOZI.
Kuna aina nne za ngozi ya binadamu:
1.Ngozi ya kawaida (normal skin)
Hii ni ngozi ambayo ina mafuta na unyevu wa kawaida kwa ajili ya ustawi mzuri wa ngozi,hivyo huwa ni ngozi...
Kuna magonjwa ambayo kwa hapa Tanzania ukiyapata ngumu sana kutibiwa nayo ni:
1. Saratani (Cancer)
2. Vidonda vya tumbo
3. Kisukari
Ongezeeni mengine hapo
Mbunge wa Jimbo la Malinyi, Dkt. Mecktridis Mdaku ametoa msaada wa kuboresha mfumo wa usambazaji majisafi katika kituo cha Afya cha Kata ya Itete, Kilichopo Wilaya ya Malinyi, Mkoani Morogoro na...
Kuna mzee mmoja aliwahi kusema, kama mtoto wa kiume unaenda haja kubwa mzigo hautengenezi kakichuguu kadogo basi una utapiamulo.
Watoto wa kiume tuleni tushibe, tulinde na heshima zetu.
Mimi ni mkazi wa ROMBO MKUU naomba kuelezea kero ya hospitali ya HURUMA. Hospitali hii imekuwa ikiajiri wanafunzi waliohitimu masomo ya vyuoni ambao hawana experience ya kutosha katika kufanya...
Ipo hivi wakuu, kuna ndugu yangu ana tatizo la HOMA YA INI(Hepatitis B) kwa muda mrefu sasa zaidi ya miaka kumi sasa ila ukimcheki yupo fresh tu.
Tulienda Muhimbili akapimwa akapangiwa clinic kwa...
Habari za uzima wana JF!
Mpenzi wangu amepata changamoto ya kiafya hivi karibuni.
Hawezi kubana mkojo hata kwa dakika moja, ile feeling ya kukojoa ikifika mkojo unatoka wenyewe tu, hawezi...
Tujifunze kidogo kuhusu hili
Maumivu au kufa ganzi meno kwasababu ya sauti ya mkwaruzo wa vitu (Sound Induced Dental Sensitivity) ni tatizo ambalo limekuwa likiwapata baadhi ya watu inapotokea...
Wakuu habari za kwenu njooni munipe muongozo juzi kati nilikutwa na h-pylori kipimo kilotumika ni cha damu,nikapewa dawa za kutumia amoxicillin,metronidazole na pantroprazole nimetumia siku 8...
A 33-year-old man from Malaysia has officially earned a Guinness World Record for the most teeth in a male mouth — 42 teeth.
Most adults normally have 32 permanent teeth, including wisdom teeth...
Shilajit ni lishe iliyo kama gundi nyeusi ambayo inavunwa kwenye milima ya Himalaya. Ladha yake ni uchungu na utam kwa mbali, inayovutika ukichota kwa kijiko.
Faida za shilajit
1. Kuimarisha...
Ashwagandha ni tiba asili ya kihindi iliyojizolea umaarufu mkubwa kutibu changamoto nyingi za kiafya. Mmea huu unazalishwa zaidi Mashariki ya kati, Asia na hata Africa ya magharibi. Faida za...
Dawa ni ya asili imezalisha india kwa ajili ya kutibu uvimbe kenye kizazi na kenye mfuko wa mayai. Pia dawa inasaidia kurekebisha homoni na hedhi. Dozi moja ya Zandu kanchnar guggul ina vidonge...
Tunaomba uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kushughulikia kero ya ubovu wa magari ya taasisi.
Shughuli nyingi zimekwama zinazofanyika nje ya hospitali kama kusafirisha sampuli, kufuata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.