Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Habari wana jamvi, Takribani wiki mbili zilizopita nilikuwa nasumbuliwa na muwasho sehemu za siri; dhakari, maliwato na sehemu katikati ya mapaja na mbupu. Sikuota vipele isipokuwa tu sehemu ya...
9 Reactions
346 Replies
4K Views
Salaam wana JF Kwa wale wasafiri wa kanda ya ziwa hasa kutokana Mwanza kwenda mikoa mingine mtakua mashahidi kwa hili. Kuna watu wanapanda kwenye basi kuanzia pale Shinyanga na kushukia Tinde...
2 Reactions
164 Replies
61K Views
Katika ulimwengu wa kisasa wa lishe, kumekuwepo na mijadala mingi kuhusu ulaji wa wanga. Watu wengi, hasa watoa mada za mtandaoni na watu wenye ushawishi kwa kiasi kikubwa hutoa elimu inayopinga...
1 Reactions
53 Replies
821 Views
Msaada tafadhari jino linauma kweli,ukilitingisha linatingishika. Mwenye kujua dawa tafadhari anisaidie.
0 Reactions
4 Replies
119 Views
  • Redirect
ugali ni useless food
4 Reactions
Replies
Views
Habari za majukumu wakuu,poleni na majukumu ya kila siku. Wakuu nina changamoto ya kukosa hamu ya kula ,ingawa nina hisi njaa lakini ninakula chakula kidogo sana, nashiba. Hili limekua tatizo la...
6 Reactions
91 Replies
14K Views
Dawa Ya Kukuza Upya Meno? Majaribio Yamepangwa Kuanza Kwa Dawa Ambayo Inaweza Kusaidia Katika Kukua Upya Wanasayansi duniani wanaendelea kufanya tafiti kubwa kuhusu teknolojia ya kukuza meno...
1 Reactions
1 Replies
211 Views
Anonymous
Ni ukweli kwamba gharama zinazotajwa ili uweze kuonana na daktari hazijawahi kuwa za daktari na waala daktari hajawahi kuzipokea ila ni gharama ambazo zimewekwa ili kusaidia uendeshaji wa huduma...
2 Reactions
4 Replies
184 Views
Trouble sleeping? Establish a routine to promote good sleep habits. Set a bedtime and a waking time, and stick to them - even on weekends. This will help your body get used to a regular sleep...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nimeitafuta sana huku ninapoishi Morogoro ila sijaipata. Najua Dar es salaam ipo ila sijui ni wapi, naomba msaada wa duka kubwa hapo Daresalam ninapoweza kupata hii dawa. Nawasilisha.
4 Reactions
32 Replies
426 Views
Wana JF, Ni njia gani isiyo na madhara ya kumfanya mtoto aache kunyonya vidole, ana miezi 7 sasa ila naona kwa kasi anayoenda nayo yaani hadi usingizini yeye yuko navyo tu... Sitamani afike umri...
10 Reactions
52 Replies
891 Views
Nimekuja hapa kupongeza, kwa kweli naishukuru Serikali ya Tanzania na Rais wetu mama Samia Suluhu. Mama yangu anaumwa Saratani ya Kizazi, alipogundulika na hilo tatizo kwakweli kwenye familia...
1 Reactions
3 Replies
143 Views
PEP (Post - Exposure Prophylaxis) ni matibabu anayopewa mtu after been exposed to HIV ili kukukinga kuwa HIV positive. Matibabu haya yanatakiwa kutolewa as soon as possible baada ya mtu kuwa...
4 Reactions
578 Replies
120K Views
Serikali imeanza rasmi utekelezaji wa Mpango wa Bima ya Afya kwa Wote kwa kaya zisizo na uwezo kwa kutoa Shilingi bilioni 48.8 kwa ajili ya kuwawezesha wananchi wa makundi maalum kupata huduma za...
0 Reactions
1 Replies
121 Views
Watu wengi wakiona picha za “before and after” za watu walioanza kufanya mazoezi, mara nyingi hushangazwa na jambo moja, mtu anaonekana mdogo kuliko zamani. Wengine huonekana kama wamerudisha...
4 Reactions
4 Replies
425 Views
Figo hufanya kazi nyingi kwa wakati mmoja katika mwili wetu. Huondoa taka katika mwili. Kuweka uzaini wa maji na madini ya elektroliti. Figo hufuatilia shinikizo la damu na pia kusaidia katika...
9 Reactions
14 Replies
2K Views
Naomba kujua madhara ya kumtolea mtu figo na tahadhari gan mtu anapaswa kuchukua kabla na bahati ya kumtolea mtu figo
3 Reactions
65 Replies
872 Views
Wizara ya Afya pamoja na taasisi zake imeendelea kuimarisha utoaji wa huduma za afya nchini kupitia ukusanyaji wa mapato na matumizi ya fedha katika utekelezaji wa miradi na huduma mbalimbali za...
0 Reactions
0 Replies
101 Views
Wakuu nimekuwa nakumbwa na changamoto ya kumwaga mbegu, kila ninapo lala usingizini. Changamoto hii ina kama miezi kadhaa, mwanzoni nili dhani ni issue normal pengine ni kutokana na issue za...
11 Reactions
107 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…