Tatizo la kuchubuka kwa uume kila baada ya tendo la ndoa...

Streptokinase

JF-Expert Member
Dec 13, 2018
268
421
Habari wakuu,

Kama kichwa cha uzi kinavosomeka hapo juu, hili tatizo limeanza takribani miezi mitatu iliyopita.
Ilitokea tu siku moja wakati wa kufanya tendo la ndoa nikawa nahisi maumivu, ila niliendelea kwa kujua ni michubuko ya kawaida afu ukizingatia tunaaminiana na mke wangu sikuona shida.
Baada ya tendo ambalo lilidumu kwa muda mrefu kidogo, nilihisi maumivu flan kutokana na ule ute ute wa ukeni hivyo nikaenda kuoga na kuona michubuko inayoenekana(mikubwa kidogo) imetokea.

Baada ya kama siku mbili nikaangalia uume ukawa umepona yan kuna layer ya ngozi ngumu ilitokea iyo sehem iliyokua imechubuka, nikashiriki tendo la ndoa ila baada ya bao la kwanza nikahisi maumivu sababu uume ulikua umechubuka tena, ila niliendelea sababu ya hamu ya tendo mpaka bao tatu lakini wakati wote huo nilikua nahisi maumivu flani kutokana na joto la ukeni.

Kwaio kila baada ya kushiriki tendo la ndoa ikawa ivoivo. Tukakubariana na mke wangu tungoje kwa mda mrefu kidogo ili papone vizuri kabisa ndio tuje tufanye tendo la ndoa, cha ajabu tumekaa kama wiki tatu na uume ukawa unaonekana umepona kabisa sababu hadi ile layer ngumu ya ngozi inayotokeaga ikawa imetoka lakini baada ya bao la kwanza tu tena nikawa nahisi maumivu ya kuchubuka tena.

Naombeni ushauri wakuu nifanyaje sababu hili tatizo linanifanya nashindwa kabisa kulifurahia hili tendo takatifu na mke wangu kipenzi.
 
Ushauri....waone madaktari haraka sana tena nenda na mke wako
 
Unasema umeoa, je tatizo hili ni la muda mrefu au karibuni?

Je, mkeo ameshave uke wake au lah?

Je, mkeo huwa anakuwa tayari kuingiliwa au uwa uke wake unakuwa mkavu wakati unamuingilia?
 
Kuna muvi niliona mwanamke akiingiliwa na mwanaume papuchi inakula dushelele linakatikia humo humo
nani mwingine amewahi kuiona?
 
Unasema umeoa, je tatizo hili ni la muda mrefu au karibuni?

Je, mkeo ameshave uke wake au lah?

Je, mkeo huwa anakuwa tayari kuingiliwa au uwa uke wake unakuwa mkavu wakati unamuingilia?
tatizo ni la muda mfupi kama miez miwili iliyopita, ukizingatia nimeanza kushiriki tendo la ndoa na huyu kipenzi changu kabla ya kuoa kama miaka mitatu iliyopita ivi.

mara nyingi huwa anashave ila kuna mda nyasi zinaeza kuwepo kidogo.
 
Unasema umeoa, je tatizo hili ni la muda mrefu au karibuni?

Je, mkeo ameshave uke wake au lah?

Je, mkeo huwa anakuwa tayari kuingiliwa au uwa uke wake unakuwa mkavu wakati unamuingilia?
wakati wa kumuingilia huwa anakua tayari kabisa, huwa natumia muda wa kutosha tu kumuandaa....

ila labda cha kuongezea ni kwamba nishawahi kushiriki nae tendo la ndoa wakati yupo hedhi, ila hii ilikua baada ya tatizo kutokea tayari
 
Huwa inatokea kutokana na kunyoa nywele za ukeni kwa hiyo zike nywele zinazochomoza husababisha mchubuko au kama hajanyoa pia nywele zake husababisha michubuko hiyo.
 
Pimeni Virusi Vya Ukimwi!
swala la afya tumepima sio muda mrefu, baada ya hili tatizo kuanza mke wangu alikua anahisi kwamba nimemcheat uko nje kwa kula mtandao pendwa na vijana wengi wa mjini ndo maana nimechubuka.

Kiukweli sijawahi kutumia huo mtandao na baada ya kupima tumekutwa tupo salama ndo maana naendelea kushiriki nae tendo takatifu ijapokua wakati wa tendo huwa napata maumivu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom