Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Leo asubuhi nilipoamka alfaji kujiandaa kwenda kazini kuzunguzunga kilinishika kama nimeamka na pombe.nikajitahidi nikaondoka kwenda kazini lakini mguu ukawa mzito nauburuza nikiuwekea umakini...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
hivi ukiwa ni mtu wa kwenda gym na kufanya mazoezi kwa ujumla,halafu na una sex mara kwa mara inakuwaje????? ushauri wa kitaalam unasemaje??????? kwa mfano umetoka gym na umechoka unafika home...
0 Reactions
12 Replies
10K Views
New research confirms that the key measure of a person's health isn't weight, it's body fat. by Erin Hobday, SELF Find more Your health is not measured by pounds alone! New research...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Brain scans beat chance at identifying specific memories, scientists report. By Jenifer Goodwin, HealthDay Reporter Mind reading may have taken a step away from the realm of science...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
TAFADHALI SOMA HAPA,KAMA WEWE NI DOCTOR USAIDIE KWA MAWAZO... I find that people react strangely when I'm present. It been almost 3 year since i made this connection. People would start...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
YouTube- Man suffers from mysterious skin ailment Ugonjwa gani huu?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimepata kusikia kuwa magamba ya mti wa mwembe ni kinga dhidi ya magonjwa kama malaria n.k. Maelezo niliyopata ni kuwa ukichemsha magamba ukanywa maji yake au ukisaga magamba makavu ukanywa maji...
0 Reactions
5 Replies
18K Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad akiwa amelazwa katika hospitali ya Shree Hindu Mandal jijini Dar es Salaam jana. Seif amelazwa hospitali hapo tangu Ijumaa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Na Jumbe Ismailly,Singida Kituo cha afya cha Sokoine,kilichopo katika Manispaa ya Singida kinakabiliwa na tatizo la kuwa na mbu wengi nyakati za mchana,hali ambayo hutishia wagonjwa wanaolazwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
I know genetics play a big part in weight and height. But what are the probability of toddler who is overweight in the first 2 years becoming of normal weight. None of the parents overweight...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Linaeza kuwa swali la kijinga, lakini kiukweli linanitatiza. na ni muhimu kwangu na watoto wangu, na huenda hata baadhi yenu. Naomba majibu mujarabu ya kitaalamu, Je ni muda gani optimum wa...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Naomba msaada kucha zangu za miguu zinakuwa ndani ya nyama, ingrown, wanasema. Zina maumivu sana na madaktari waliniambia nifanye operasheni ya kuzitoa... nimetoa mara mbili lakini wapi, zinakua...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wadau meno yangu yamechomoza kwa nje kiasi kwamba najisikia uncomfortable kusmile. Kuna hospitali au wataalamu au namna nyingine yoyote ninayoweza kutumia kuyeweka meno yangu katika muonekano mzuri
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Nini hasa kina sababisha homa za usiku kwa watoto wadogo (infants). homa hizi huanza muda wa jioni sa1 na mara nyingi inakuwa kati ya 38C - 38.4C degrees lakini ifikapo asubuhi mtoto anakua normal...
0 Reactions
6 Replies
9K Views
THE good news: For the most part big beautiful Black women are self-confident, content with their lives and are not on a destructive mission to transform themselves into living Barbie dolls. The...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
GENEVA - The World Health Organization says more than 85 million children under 5 in west and central Africa will be vaccinated against polio.The agency says the massive vaccination campaign in 19...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
NCHI za Maziwa Makuu zimetakiwa kuandaa mkakati wa kutoa michango ya fedha za kuendeleza mapambano dhidi ya ukimwi ili kuendeleza mradi unaofadhiliwa na Benki ya Dunia. Zimetakiwa kutambua wazi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwako Dk Massawe tunashukuru kwa jinsi unavyosaidia jamii ya tanzania hasa kwa upande wa watoto;leo hii nikiwa mmoja wa wadau wa furaha dispensary tunaomba baba ubadili mfumo wako wa kupokea...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Asali inaaminika kuwa na uwezo wa kutibu magonjwa mbalimbali. Hata hivyi kuna wakati unakula asali halafu unaanza kusikia maumivu. Mathalan, leo asubuhi nimekunywa chai ya rangi ambayo imeungwa na...
0 Reactions
5 Replies
11K Views
Salaam wanajamii forums... Eti kunauhusiano hapa..... ----> note attached foto.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom