sex na ratiba ya gym........

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,870
hivi ukiwa ni mtu wa kwenda gym na kufanya
mazoezi kwa ujumla,halafu na una sex mara kwa mara
inakuwaje?????
ushauri wa kitaalam unasemaje???????
kwa mfano umetoka gym na umechoka
unafika home wife anataka,kipi ni sahihi
kufanya?????
wale walioa wanafanyaje???

wataalamu nipeni ushauri...
 
Fanya mazoezi usitafute visingizio!!!! Isitoshe sex nayo ni sehemu ya zoezi na refresher ya mwili but mind kilakitu na wakati wake.
 
jaribu kuelewa mada.....
nihitaji visingizio kwani
nani namuogopa????

ishu hapa ni je kuna madhara yeyote
unaweza kuyapata ukifanya mazoezi sana
huku pia un sex sana????
i mean unatoka ku sex halafu unaingia gym fo two hours
kwa mfano,
ushauri wa kitaalamu ukoje???????
 
Msikuze mambo! kusex sana ndo nini? mwili unaweza kujipimia level ya sex. unamaana unasex beyond limit ya mwili wako? nini viagra?

ndo zinawatoa roho, sasa!
 
mukulu...sidhani kama kuna madhara yoyote.
Mimi najifua gym five-six days a week, na M &T naenda asubuhi. Kabla ya kuondoka napata cha chap chap......!

Wakati mwingine mchana pia napiga 1-2 then naenda gym. Hakuna madhara yoyote na vipimo vyangu-physical tests zote zipo safi...!

Ni kweli to me sometimes sex ni part ya warm up as cardio exercise....
 
Mimi najifua gym five-six days a week, na m &t naenda asubuhi. Kabla ya kuondoka napata cha chap chap......!

Wakati mwingine mchana pia napiga 1-2 then naenda gym. Hakuna madhara yoyote na vipimo vyangu-physical tests zote zipo safi...!

Ni kweli to me sometimes sex ni part ya warm up as cardio exercise....

ok.phisical fitness na sex,,,,,,,
kama haina madhara sina tatizo.
Mimi sio mtaalam,but...
Niliwahi sikia kwa mfano wachezaji
wa timu za mpira wanashauriwa kuto
sex hasa wiki ya mechi,umenipata?
Ningependa kujua ushauri wa kitaalam
unasemaje?
 
mukulu...sidhani kama kuna madhara yoyote.
Mimi najifua gym five-six days a week, na M &T naenda asubuhi. Kabla ya kuondoka napata cha chap chap......!

Wakati mwingine mchana pia napiga 1-2 then naenda gym. Hakuna madhara yoyote na vipimo vyangu-physical tests zote zipo safi...!

Ni kweli to me sometimes sex ni part ya warm up as cardio exercise....

Yes haina madhara, ila ukianza na bao then gym ni kimbembe, na ukianza na gym inakuwa poa zaidi
 
Madhara yapo, hasa kwenye viungo vya mwili(joints) na perfomance yako ya ktk mazoezi inapungua.uki sex halafu ukienda gym utaona kabisa unakuwa mzito, hata pumzi zinakuisha kabisa, huwi fasta kama kabla ya kumega na ukitoka hapo kwenye mazoezi lazima usikie maumivu flani kwenye ankle, kiuno, mbavu, nyonga na ukiwa mchezaji mpira ndo balaa unaweza ushindwe cheza mpira kabisa.
 
hivi ukiwa ni mtu wa kwenda gym na kufanya
mazoezi kwa ujumla,halafu na una sex mara kwa mara
inakuwaje?????
ushauri wa kitaalam unasemaje???????
kwa mfano umetoka gym na umechoka
unafika home wife anataka,kipi ni sahihi
kufanya?????
wale walioa wanafanyaje???

wataalamu nipeni ushauri...

Hivyo vitu viwili haviathiriani hata kidogo! Sana sana mazoezi yatakufanya uwe na hamu zaidi ya kutiana kwa sababu utakuwa na mzunguko mzuri wa damu mwilini mwako.
 
Madhara yapo, hasa kwenye viungo vya mwili(joints) na perfomance yako ya ktk mazoezi inapungua.uki sex halafu ukienda gym utaona kabisa unakuwa mzito, hata pumzi zinakuisha kabisa, huwi fasta kama kabla ya kumega na ukitoka hapo kwenye mazoezi lazima usikie maumivu flani kwenye ankle, kiuno, mbavu, nyonga na ukiwa mchezaji mpira ndo balaa unaweza ushindwe cheza mpira kabisa.

Naunga BANDIKO lako mkono.
 
Back
Top Bottom