Meno kutoka nje


Lawkeys

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2009
Messages
1,111
Likes
11
Points
135

Lawkeys

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2009
1,111 11 135
Wadau meno yangu yamechomoza kwa nje kiasi kwamba najisikia uncomfortable kusmile. Kuna hospitali au wataalamu au namna nyingine yoyote ninayoweza kutumia kuyeweka meno yangu katika muonekano mzuri
 

Kwetunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2007
Messages
1,544
Likes
34
Points
145

Kwetunikwetu

JF-Expert Member
Joined Dec 23, 2007
1,544 34 145
Yeah its possible hata Ronaldo de Lima alifanya mambo kiduchu kurekebisha meno. Labda nenda kwa madaktari wa meno wakupatie existing alternatives...!
 
Joined
Jun 23, 2008
Messages
45
Likes
0
Points
13

Kishaini

Member
Joined Jun 23, 2008
45 0 13
visit hopitali ya doctor shabiri ipo katika jongo flani la Blue liloo mtaa wa jamuhuri next na kituo kidogo cha polisi kabla ya duka la masumini watmaliza tatizo lako-uwe na mshiko wa kutosha
 

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Messages
10,938
Likes
206
Points
160

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined Apr 26, 2008
10,938 206 160
Wadau meno yangu yamechomoza kwa nje kiasi kwamba najisikia uncomfortable kusmile. Kuna hospitali au wataalamu au namna nyingine yoyote ninayoweza kutumia kuyeweka meno yangu katika muonekano mzuri

Mbali na kujiskia unconfortable ni tatizo gani tena unalipata?
kama hakuna ni bora ubakie hivyo hivyo ndugu.
nahofu mbali na gharama kubwa sana lakini pia usije ukasababisha matatizo mengine.
Kubali hali halisi ndugu yangu.
 

Forum statistics

Threads 1,204,137
Members 457,147
Posts 28,142,701