Dk Massawe embu saidia watanzania;tuongezee idadi ya watu clinic yako

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Kwako Dk Massawe
tunashukuru kwa jinsi unavyosaidia jamii ya tanzania hasa
kwa upande wa watoto;leo hii nikiwa mmoja wa wadau wa furaha
dispensary tunaomba baba ubadili mfumo wako wa kupokea wagonjwa
kwa kweli wengine tunakata tamaa hali tunaitaji msaada wako
Baaba massawe majuzi nimefika saa kuminamoja asbh dispensary
nikakuta watu 10 wa kwanza wameshachukua nafasi na mzee wetu uchukui zaidi ya kumi,..nikawahi kumi na moja kasoro 20 jamani nikakuta mi ni wa kuminamoja...loh hakika baba embu angalia wazo lako la watu 10..tuhurumie ndugu zako...tunashukuru na kuamini ujumbe huu utafika mahali pake
 
hivi pale hakuna sanduku la maoni au wasaidizi wake wakampa ujmbe moja kwa moja? I doubt kama massawe atakuwa anatembelea hapa
 
hivi pale hakuna sanduku la maoni au wasaidizi wake wakampa ujmbe moja kwa moja? I doubt kama massawe atakuwa anatembelea hapa


tumetuma maoni ,naamini hata kama si yeye wapo wanaomjua wanasoma JFwatamwelekeza mpwa
 
Back
Top Bottom