Msaada Wadau!

Mdau Mkuu

JF-Expert Member
Dec 12, 2009
233
45
Wadau naomba mwenye kujua matatizo ama dalili kuwa kimeo(tule tudude tunaokaa juu ya ulimi na karibu na koo) kwamba kinahitajika kukatwa ni nini!namishukuru wadau kwa msaada wenu
 
Iwapo huhisi tatizo lolote wala usihangaike na issue za kukata kimeo.

Na ukihisi shida kinywani nenda hospitali.

Usikimbilie kwa wakata vimeo wa mitaani. Unaweza kujizulia shida kubwa zaidi kuliko tatizo lako la kwanza. (mfano tetanus, maambukizi mengine, kupoteza damu nyingi, ukimwi nk).
 
Back
Top Bottom