Nani mwaminifu katika mapenzi.

Djunior

Member
Sep 28, 2010
45
1
Lawama zimekuwa zikielekezwa ktk pande mbili.

Wanawake wanawashutumu wanaume kuwa sio waaminifu ktk ndoa zao. Nao Wanaume wamekuwa wakiwashutumu Wanawake kuwa wanatamaa na sio waaminifu, Wana JF mnasemaje?
 
Lawama zimekuwa zikielekezwa ktk pande mbili. Wanawake wanawashutumu wanaume kuwa sio waaminifu ktk ndoa zao. Nao Wanaume wamekuwa wakiwashutumu Wanawake kuwa wanatamaa na sio waaminifu, Wana JF mnasemaje?

ndio hivyo
 
It goes both ways...kwani wanaume wanakuwa sio waaminifu na kina nani?

Asilimia kubwa ni hao hao wanawake. Ingekuwa baada ya kutokuwa waaminifu, wanaume wanaishia na wanaume wenzao, I could understand.
 
Acheni hayo mambo ya kipuuzi tushughulike na mambo nyeti kwanza. Hakuna relationship scenarios zinazofanana. Kila watu wana mwanzo na mwisho wa kipekee (unique). You can't generalise.
 
Acheni hayo mambo ya kipuuzi tushughulike na mambo nyeti kwanza. Hakuna relationship scenarios zinazofanana. Kila watu wana mwanzo na mwisho wa kipekee (unique). You can't generalise.

Hili ndilo linafanya watu wapoteze muda mwingi wa maisha kujadili na kushauriana mambo ya mapenzi.

As every human being is unique, it is unfair to generalise their behaviours and acts.

Anyway, JF doctor labda anaweza kutoa maelezo muafaka kama mwanzisha mada alivyomkusudia.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom