Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

'Tiba ya malaria ibadilishwe' Imeandikwa na Hellen Mlacky; Tarehe: 16th December 2010 @ 06:13 TAASISI ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), imependekeza dawa ya Artesunate...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Leukaemia treatment 'cures' man of HIV A bone marrow transplant has successfully cured a man of both leukaemia and HIV © © design56 - Fotolia.com An HIV positive man who received...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
:angry: Wandugu, naombeni msaada, mimi ni kijana wa miaka 32, lakini kichwa changu kwa sasa kina shambuliwa na mvi ile mbaya, naogopa kuwa kama EL kabla ya wakati. Wana JF naombeni msaada.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wana JF! Mtoto wa jamaa yangu amekuwa diagnosed with allergic disorders. Daktari amesema yupo na alergy ya "dermatophadoides" , "cladosporium", "cat fur", "corn foods", "sweet potatoes"...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KLABU ya Lions ya Dar es Salaam itaendesha kambi ya uchunguzi wa maradhi ya moyo bure kwa muda wa siku tatu ambapo wagonjwa 100 watakaogundulika wana matatizo makubwa watapelekwa nchini India kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani eeh, mi nimekuwa nikisikia Maneno maneno kwamba ukitumia kahawa kwa sana unapata matatizo ya Moyo,, na mimi bila Kahawa Asubuhi bado hujaniambia yaani kila siku,, nanatumia Strong Cofee...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Serikali imeweka bima ya afya kwa ajili ya watumishi wake, vivyo hivyo mashirika ya NSSF/PPF etc wameweka ajili ya wanachama wake. Natumai wanachama kuna kiasi wanakatwa na kupewa kadi. Shida ni...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
bofya hapa kujua kuhusu food poisoning Food Poisoning: eMedicine Gastroenterology halafu ukatazame jinsi gazeti hili lilivyoeleza kuhusu FP.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
jamani hii hainiingii akilini.....kuna mwanamke mmoja anayeishi Arusha maeneo ya Maji ya Chai amekuwa akibeba mimba miaka mitatu badala ya miezi tisa,anasema alipopata mtoto wa 5 ndipo matatizo...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Mimi ni mwanamke niliyeolewa na nina mwaka mmoja kwenye ndoa. Katika siku zote ninazoishi na Mume wangu ni siku chache sana nafurahia tendo la ndoa maana mara zote napata maumivu makali wakati wa...
0 Reactions
47 Replies
23K Views
wadau,Timu nzima ya AfroIT kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa Afya,tupo mbioni kukamiliusha hatua ya kwanza ya tovuti ya afya.Tovuti ambayo itakuwa inakuletea mambo mablimbali yanayohusu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hivi kuna wanawake wenye vipara?, maana mimi sijawahi kuona mwanamke mwenye kipara. Kuna nadharia kuwa vipara vinatokana na mtu kutumia sana ubongo wake katika kufikiria mambo magumu na kwa kina...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wadau niaje?nimeshazoea kuckia wanawake wajawazito ndo wanahisi kichefuchefu,bt mie leo nimeamka nahisi kichefuchefu,naomba kuuliza huwa kinatokana na nini?je pia cie wanaume huwa tunakipata ama...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
‘Maji ya chupa huathiri akili’ Imeandikwa na Evance Ng’ingo; Tarehe: 11th December 2010 @ 23:55 WATUMIAJI wa maji ya chupa yanayouzwa mitaani ambayo si salama yanaweza kusababisha matatizo ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Juzi kuna rafiki yangu alipata ajira jeshi la polisi lakini ikawa lazima apimwe damu kwanza..akafanya hivyo..lakini baada ya wiki kadhaa kupita hakuitwa kazini ilihali wenzie waliitwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
hivi kuna njia ya kujuwa mkeo atazaa lini..?!
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Possible Causes for Male Impotence: 1. No exercise: Men who do little activity are prime candidates for impotence. 2. Over weight: Men who have a high Body Mass Index (BMI) are also likely...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
From MEDDY MULISA in Bukoba, 9th December 2010 @ 12:00, Total Comments: 0, Hits: 14 MYSTERIOUS disease has hit two journalists here - Benjamin Rwegasira of the Tanzania Broadcasting Corporation...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
By PIUS RUGONZIBWA, 9th December 2010 @ 12:00, Total Comments: 0, Hits: 12 TANZANIA has moved an extra mile in fighting Tuberculosis (TB) by developing about three rapid diagnostic tests which...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
A small daily dose of aspirin substantially reduces death rates from a range of common cancers, a study suggests. Research at Oxford University and other centres found that it cut overall cancer...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…