mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,493
- 767
Juzi kuna rafiki yangu alipata ajira jeshi la polisi lakini ikawa lazima apimwe damu kwanza..akafanya hivyo..lakini baada ya wiki kadhaa kupita hakuitwa kazini ilihali wenzie waliitwa kazini...akapatwa na wasiwasi labda ni vile vipimo...akaamua aende akacheki afya yake na alinishirikisha..akakuta negative...sasa nikajiuliza walitumia vigezo gani kumtosa kazi maana kazi ilikua haina ufisadi mojakwa moja umepata....then nikajiuliza au kuna vitu gani vingine wanachek kwenye hiyo damu kama mnafahamu...tofauti na hiv kwa mnaofahamu plz nijulisheni nimpe jamaa madata