Bima za afya haina faida

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
1,155
2,000
Serikali imeweka bima ya afya kwa ajili ya watumishi wake, vivyo hivyo mashirika ya NSSF/PPF etc wameweka ajili ya wanachama wake. Natumai wanachama kuna kiasi wanakatwa na kupewa kadi.

Shida ni kwamba ukishafika hospitali wakigundua wewe una bima ya afya basi matibabu yanakuwa tabu na mwisho utaambiwa dawa hakuna uende pharmacy ukanunue. Je bima hii ya afya iba faida gani?

Kama kuna mtu ambae amesha faidi ipasavyo naomba ani kosoe lakini pia aseme ni hospitali gani amepata huduma.
 
Kivia

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
278
195
BIMA YA AFYA NI NZURI SAANA. Bima ya afya inapatikana hosp zote na inapotokea dawa hujapata kuna maduka ya dawa yanayotoa dawa kwa bima na hakuna usumbufu ukipewa form ya kuchukua dawa. PIA RAHA YA BIMA UNAIPATA KAMA UNA MATATIZO YATAKAYOHITAJI VIPIMO VYA GHARAMA KWA MWANACHAMA/TEGEMEZI. TukUMBUKE NI WAFANYAKAZI WANGAPI WANAOWEZA KUWEkA TAHADHARI YA FEDHA KWA MATIBABU AU KUWATUMIA WAZAZI WAO NA TEGEMEZI WAO FEDHA KILA MWEZI HUKO VIJIJINI ? kuMBUKA BIMA FEDHA YAKO IMEKATWA TAYARI KAMA WATENDAJI WANAKUFANYIA Mzaha UNAHAKI TENA ZAIDI YA KUWABANA WATOA HUDUMA NA USINUNGUNIKE CHINICHINI. Bima ya afya iwe kwa watu wote mf. Wakulima ,wafugaji, wafanya biashara nk. Ni mambo yaliyopo ktk nchi za wenzetu zilizoendelea.
 
Wewe ushatibiwa hospitali gani na mambo yakaenda kama ulivyo andika? Yote hayo hayafanyiki. Mimi nimeshafanya research.
 
Kivia

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
278
195
Nimetembea sehemu nyingi., ila kama upo DSM fika OCEAN ROAD HOSP[kuna kitengo cha bima cha hospital ya muhimbili pale] fika na uhoji wagonjwa watakupa ukweli, fika pia pale MIKOCHENI HOSP, fika pia TUMAINI HOSPITAL PALE UPANGA. Pia hosp. Zetu za serikal wanatoa huduma hizi, tena wametengewa madaktari maalum wa bima ili kuwapunguzia msongamano, hata walazwapo wana ward za peke yao. Nawaomba mfuatilie tena kwani watu wengine hawajui kuwa huduma zimebadilika tofauti na zamani huduma hizi zilipoanza.
 
Jituoriginal

JF-Expert Member
Feb 8, 2010
362
225
wewe ushatibiwa hospitali gani na mambo yakaenda kama ulivyo andika? Yote hayo hayafanyiki. Mimi nimeshafanya research.

kwa kairuki kuna nafuu' mi nimeshuhudia na nimefanyiwa utra sound ya moyo na mrs wangu vipimo kibao vya kinamama .tatizo moja foleni .
 
Kivia

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
278
195
Nimetembea sehemu nyingi., ila kama upo DSM fika OCEAN ROAD HOSP[kuna kitengo cha bima cha hospital ya muhimbili pale] fika na uhoji wagonjwa watakupa ukweli, fika pia pale MIKOCHENI HOSP, fika pia TUMAINI HOSPITAL PALE UPANGA. Pia hosp. Zetu za serikal wanatoa huduma hizi, tena wametengewa madaktari maalum wa bima ili kuwapunguzia msongamano, hata walazwapo wana ward za peke yao. Nawaomba mfuatilie tena kwani watu wengine hawajui kuwa huduma zimebadilika tofauti na zamani huduma hizi zilipoanza.
 
Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
46,545
2,000
Wewe ushatibiwa hospitali gani na mambo yakaenda kama ulivyo andika? Yote hayo hayafanyiki. Mimi nimeshafanya research.
ndugu kwanza pole na hili

unajua watu wamekuwa wakifanya biashara ya dawa kupitia hizi bima
ndio maana wakatii mwingine ma hosp wanakuwa bored kuwasaidia
najua si wte ila zoezi hili limekuwa likiendeshwa kushirikiana na baadhi
ya wafanyakazi wa hiyo bima..ninao mfano mbaya tu nilikwenda hospt
moja huko boko nikatoa kadi ya mtotot kumbe baada ya ya wiki wakatuma email
tunatakiwa kulipa ati na kusema mamake bima imeisha wiki moja walisahau kutujulisha
sikutaka shari nikawasiliann na AAR nkauliza naomben mnisaidie bill maana kumwona dk 10,000 dawa nilizochukua azizidi 12,alfu nkasema naomba bill..yule jamaa akaniambia niende na alfu hamsini nika mtukana akasema mbona wanijibu hivyo nikamwambia tafadhali nisaidie imekuwaje matumizi yake..

akasema oohh ulilala na mtoto na baadhi ya madawa nikamwambia naomba nije tuelekezane kumbe mnaibiwa sana sana kwa style hii.akadai oohntakupigia yule jamaa ni wa accountant AAR..mpaka leo hii akuna alienipigia so unaweza jua ni chain ndefu
 
MkimbizwaMbio

JF-Expert Member
Nov 16, 2010
870
0
Mwenye list ya Hospital zinazopokea Bima ya Afya aweke hapa. Maana list hiyo hatuna, Tunabahatisha tu
 
Ngalikihinja

JF-Expert Member
Sep 1, 2009
21,900
2,000
Serikali imeweka bima ya afya kwa ajili ya watumishi wake, vivyo hivyo mashirika ya NSSF/PPF etc wameweka ajili ya wanachama wake. Natumai wanachama kuna kiasi wanakatwa na kupewa kadi.

Shida ni kwamba ukishafika hospitali wakigundua wewe una bima ya afya basi matibabu yanakuwa tabu na mwisho utaambiwa dawa hakuna uende pharmacy ukanunue. Je bima hii ya afya iba faida gani?

Kama kuna mtu ambae amesha faidi ipasavyo naomba ani kosoe lakini pia aseme ni hospitali gani amepata huduma.
Unazungumzia NHIF au hao wengine................... Maana kama ni hao wengine wala sikubaliani na wewe............. Labda hiyo NHIF yenu
 
Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
46,545
2,000
Ndugu baba yao na mama yao ni wamoja wanatofautiaana siku ya kuzaliwa tu
medex
momentum
hao nhif
nk..
Shida tupu..ndugu ila labda niweke wazi kwa hili..wanaochojihami hawa sio kukunyima wanalalama kwenye malipo ..wanapata shida sana sanakwenye kulipwa..majuzi nimeenda pharmacy moja nimeona lebo ya nhif nikauliza wakasema hizo dawa mpaka tuombe kibali mjini ofisini kwao wana dawa wameordhesha..nikapewa jamani ni aibu tupu yaani ni dawa za 500/250/1500 niliona kali sana 50,000 nikakimbia nkawafwata mjini wakasema ooh kadi yako aina tatizo ungetupigia sasa unawezaona..swala wanalokimbia ni malipo mkuu!!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom