Jitokezeni kupima moyo BUREEEE | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jitokezeni kupima moyo BUREEEE

Discussion in 'JF Doctor' started by Kiranja Mkuu, Dec 15, 2010.

 1. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #1
  Dec 15, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  KLABU ya Lions ya Dar es Salaam itaendesha kambi ya uchunguzi wa maradhi ya moyo bure kwa muda wa siku tatu ambapo wagonjwa 100 watakaogundulika wana matatizo makubwa watapelekwa nchini India kwa matibabu. Hayo yalisemwa jana na Mwenyekiti wa Klabu ya Lions, Bw. Frank Goyayi, ambapo alifafanua kambi hiyo itaanza siku ya Ijumaa itafanyika katika hospitali ya Regency Upanga jijini Dar es Salaam.

  Goyayi alisema kuwa, katika uchinguzi huo daktari bingwa wa maradhi ya moyo, Ashutosh Marwah, kutoka taasisi ya moyo ya Fortis Escorts, India atakayeendesha shughuli hiyo.

  Alifafanua kuwa watoto watakaogundulika wana matatizo hayo watagawanywa ambapo 50 watatoka Bara nakutoka bara na 50 kutoka visiwani Zanzibar ambao watapelekwa India kwa matibabu.

  Hivyo wakazi wajiji wametakwia kujitokeza kupima afya hiyo na watakaogundulika kupelekwa kwa matibabu India.

  Taasisi hiyo imekwua ikijitahidi wka hali na mali kusaidia wnanchi wa vipato vya chini kuwasidia kuwatibu maradhi hayo
   
Loading...