Msaada wa alergic disorders kwa mtoto wa mwaka mmoja


bwegebwege

bwegebwege

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2010
Messages
1,031
Likes
19
Points
135
bwegebwege

bwegebwege

JF-Expert Member
Joined Jul 30, 2010
1,031 19 135
Habari wana JF!

Mtoto wa jamaa yangu amekuwa diagnosed with allergic disorders. Daktari amesema yupo na alergy ya "dermatophadoides" , "cladosporium", "cat fur", "corn foods", "sweet potatoes", "fresh tomatoes" na "smoke"!- AMEPIMWA KITAALAMU!!

Kuna watu wanamtisha kwamba kwa dalili hizo (ya hizo hizo "allergens") basi atadevelop ASTHMA (pumu).

Tuko kwenye mchakato wa kutafuta tiba (hasa ya natural/nutritional products/supplements) au ushauri wa kitaalamu kumsaidi huyo mtoto. Naomba mwenye ufahamu wowote ule, au kama unamfahamu mtaalamu/daktari bingwa wa kutibu hilo tatizo, Tanzania, UAE, Kenya au India basi uni-PM, nisaidie maelekezo nini cha kufanya au twende wapi!!

Tusaidiane katika hili wakuu
 

Forum statistics

Threads 1,238,067
Members 475,830
Posts 29,310,672