sijajuwa kwa nchi za africa au tanzania wanatumia njia gani for EDC ila kwa nchi za wenzetu clinically tunatumia Nagele`s rule "subtract 3 from (or add 9 to) the month of the last normal menstrual period & add 7 to the 1st day of the last normal menstrual period. calcultaion inatokana na assumption cycle ya bibie ni 28dys wit ovulation on day 14th.
MFANO-
LAST MENSTRUAL PERIOD YA MKEO ILIKUWA - Feb 1st 2010, cycle yake ni siku 28.
ilkupata EDC { FEBRUARY - 3MONTHS = NOVEMBER ALAFU JUMLISHA 7 KATIKA TAREHE KATIKA HII CASE 1 + 7= 8}
Kwa hiyo EDC ni Nov 8th 2010.
kama cycle yake sio siku 28 mfano hapa tuseme ni siku 40 then hesabu inabadilika.
lf last menstrual period ilikuwa sept 1st, 2010 , cycle ya bibie ni siku 40 then
( 40 - 28= 12) tunatoa 28 coz inachukuliwa ndio standard weka pembeni hii 12
tuendelee na normal calculation... { september - miezi 3= june then tarehe 1 + 7days = 8} hii 8 + 12 "tuliyoweka pembeni = 20
unakuja kupa EDC ni june 20th
PS - EDC = ESTIMATED DATE OF CONFINEMENT .
Sijajua geographical location yako but huku nipo clinically thats what we Do kila siku with in our rounds tukikutana na expected moms ,! though its not accurate but mostly inadondokea tarehe hizo!. pia clically inasaidia kuavoid complications za mimba .. ni vizuri ulivotaka kujuwa swali zuri sana. i hope u will be a good DAD
Hongera mkuu- kitoto chako kama cha kiume utakipa jina langu basi NJIWA! na usimruhusu mkeo atumie microwave zina effect katika mimba.
Itakuwaje kama tarehe zake huwa zinabadilikabadilika, say mara 28 mare 33 mara 20. Asante mkuu kwa msaada wako.
unstable cycle ni moja ya weakness ya ya hii njia ila maranyingi tunafanya estimation kutakuwa na tarehe zinazojirudia frequently or we cn take an average but kumbuka kuna ultrasound confirmation of due date inaweza ikawa tofauti na hii ya calculation kutoka na maumbile ya mzazi so regular visiting for clinic ni muhimu pia. hii calculation maranyingi tunaifanya on bed side examination on her 1st day of visit kabla ya vipimo vyovyote. sanasana on a 1st trimester
P.S The chances of actually delivering on the same date are very slim... ya mungu mengi as you know! but inakuwa inacheza kwenye tarehe hizo its better to know ili kama kuna safari basi asisafiri...
note: am still a med student 5th year rotation kama ulisikia another way ya kujuwa DUE date kutoka kwa mzoefu then fuata hiyo njia! mimi bado sina uzoefu ..
sijajuwa kwa nchi za africa au tanzania wanatumia njia gani for EDC ila kwa nchi za wenzetu clinically tunatumia Nagele`s rule "subtract 3 from (or add 9 to) the month of the last normal menstrual period & add 7 to the 1st day of the last normal menstrual period. calcultaion inatokana na assumption cycle ya bibie ni 28dys wit ovulation on day 14th.
MFANO-
LAST MENSTRUAL PERIOD YA MKEO ILIKUWA - Feb 1st 2010, cycle yake ni siku 28.
ilkupata EDC { FEBRUARY - 3MONTHS = NOVEMBER ALAFU JUMLISHA 7 KATIKA TAREHE KATIKA HII CASE 1 + 7= 8}
Kwa hiyo EDC ni Nov 8th 2010.
kama cycle yake sio siku 28 mfano hapa tuseme ni siku 40 then hesabu inabadilika.
lf last menstrual period ilikuwa sept 1st, 2010 , cycle ya bibie ni siku 40 then
( 40 - 28= 12) tunatoa 28 coz inachukuliwa ndio standard weka pembeni hii 12
tuendelee na normal calculation... { september - miezi 3= june then tarehe 1 + 7days = 8} hii 8 + 12 "tuliyoweka pembeni = 20
unakuja kupa EDC ni june 20th
PS - EDC = ESTIMATED DATE OF CONFINEMENT .
Sijajua geographical location yako but huku nipo clinically thats what we Do kila siku with in our rounds tukikutana na expected moms ,! though its not accurate but mostly inadondokea tarehe hizo!. pia clically inasaidia kuavoid complications za mimba .. ni vizuri ulivotaka kujuwa swali zuri sana. i hope u will be a good DAD
Hongera mkuu- kitoto chako kama cha kiume utakipa jina langu basi NJIWA! na usimruhusu mkeo atumie microwave zina effect katika mimba.
Kumbe kuna hesabu tena!!!! hata sijaelewa!!
haahahhaa mie nilijua niko peke yangu!