Mafuta

Ja60

JF-Expert Member
Aug 5, 2012
276
177
Ni mafuta au losheni gan inafaa kwa ngozi yenye mafuta
 
Yaan namaanisha kuna watu wana ngoz ambayo nature yake ni mafuta xo inatakiwa wa2mie aina gan ya mafuta au losheni.
 
Unaeza ukaeka example ya mafuta au loshen for oily skin..
 
Atumie cream! Aloe propolis creme is an ideal cream for an oily skin
 
Back
Top Bottom