Matibabu ya Keloid | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matibabu ya Keloid

Discussion in 'JF Doctor' started by allan, Jun 26, 2012.

 1. allan

  allan Member

  #1
  Jun 26, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 44
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 15
  Habari wana JF?

  Ni mara yangu ya kwanza kuanzisha uzi humu, ila ni mfuatiliaji mzuri wa JF .:wave::wave::wave:

  Naomba msaada wa kujua ni hospitali ipi / zipi kwa hapa Tanzania wanatoa matibabu ya Keloid (abnormal scar). Nipo mkoa wa jirani na Dar ila nina uwezo wa kufika hospitali yeyote kwa kadri ya ushauri wenu.

  Natanguliza shukrani.
   
 2. allan

  allan Member

  #2
  Jul 27, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 44
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 15
  Wataalam wa tiba mbona hamnisaidii jamani?

  Nasubiri ushauri wenu.
   
 3. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Usiwe na haraka ndugu, wanakuja wanahudumia wagonjwa muda huu. Hivyo vuta subira.
   
 4. allan

  allan Member

  #4
  Jul 31, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 44
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 15
  Asante mkuu Evarm.

  Wanasema subira yavuta heri, ngoja niendelee kusubiri zamu yangu ya kuhudumiwa.
   
 5. M

  Moony JF-Expert Member

  #5
  Jul 31, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ocean Road hospital au mtafute Dr TUPA Muulizie pale ocaen Road au Muhimbili atakusaidia au ukitaka ni pm
   
 6. allan

  allan Member

  #6
  Aug 6, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 44
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 15
  Asante Moony.

  Nitaku-pm niombe maelezo zaidi.
   
Loading...