Kupata mtoto (fertility) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kupata mtoto (fertility)

Discussion in 'JF Doctor' started by Shanice, Aug 2, 2012.

 1. S

  Shanice New Member

  #1
  Aug 2, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba kujuwa dawa ya asili kusaidia mayai kupevuka, pia sijisikii hamu ya tendo la ndoa kabisa yaani sina ashki na mume wangu. I'm serious please saidia ushauri nifanyeje au niende wapi nitasaidiwa?
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Aug 3, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Dawa ya Kuamsha tamaa ya kiume na ya kike Ashki : Juisi ya Tangawizi nusu kijiko pamoja na kiini cha njano cha yai la kuku wa kienyeji kilicho chemshwa na Asali safi mbichi ya nyuki. Tumia kila siku kwa muda wa mwezi mmoja. Tumia kisha unipe feedback.@Shanic
   
Loading...