Kuna demu kuu kanipigia simu nimsaidie kutoa mimba ya miezi mitatu wadau,kwa gharama yoyote ile, mi

KengeWaKijani

Senior Member
Jun 28, 2012
103
16
bINTI WAgeti kali yuko ana ujauzito wa miezi mitatu anahaha anataka nimsaidie kuchomoa mimba ya mitatu,,, maana ana mchumba wake yuko Abu dhabi na amekaribia kurudi nchini sasa anahisi ndoa ndo hivyooooooooooooo tena kitanuka,,,,, anasema hela sio shida kwake yuko radhi kwa bei yoyote i mradi mimba itoke,,,,,,, wadau mi siwezi kabisa


ALIYETAYARI NIMSUKUMIE MZIGO EMAIL ME VIA joykwetu@yahoo.com Fasta maana anataka kesho au kesho kutwa tu iwe imechomolewa ,,,,,,,,,,,,,,,,,,TANX


tAJA NA bEI KABISA.............................
 
imekula kwake.huyo hata akiolewa hatotulia.na mwezi huu mtukufu jamani,aende akatoe mimba{kama ni muislamu}na huo mzigo usimsukumie mtu,mwache mwenyewe avune alichokipanda.kuna watu wanatafuta watoto,yeye anataka akaitoe
 
We ni kenge wakijani kweli kweli na kama ni dr labda mganga wa kienyeji ,hujui maadili ya kazi yako wewe,unauza zambi yakuua.JE MAMA YAKO ANGEKUUA ,huyo kiumbe anahitaji kuishi kama wewe,mwambie kama hela si anazo azae alee mtoto
 
Anataka kutoa mimba wakati kuna Viumbe Duniani wanataka watoto ehhh kasheshe kweli wewe ni kweli ni .@KengeWaKijani mwambie hakuna Ma Daktari wa kuitowa hiyo mimba kwanza kuna mgomo wa madaktari mwambie ailee hiyo mimba na aliye mtia mimba amuowe haraka kabla hajakuja huyo mchumba kutoka Abu dhabi.
 
Naomba usishiriki katika hilo mkuu kwani ni dhambi!!! :bolt:
 
nipm namba za simu zake nitamsaidi be 50000 tu..niko dar kwa sasa baada ya siku tatu nitakuwa mwanza..
 
huku ni kwa madoctor siyo kwa wauaji kuwa na nidhamu dogo hauna tofauti na wakina Gaddaf we uko radhi kuutoa uwahi wa mtu kwa gharama zozote na ukifanya hicho kitendo ulaaniwe
 
Yani matangazo ya kutumia condom yako mpaka kwenye maguzo yaumeme alikua hayaoni
 
Anataka kutoa mimba wakati kuna Viumbe Duniani wanataka watoto ehhh kasheshe kweli wewe ni kweli ni .@KengeWaKijani mwambie hakuna Ma Daktari wa kuitowa hiyo mimba kwanza kuna mgomo wa madaktari mwambie ailee hiyo mimba na aliye mtia mimba amuowe haraka kabla hajakuja huyo mchumba kutoka Abu dhabi.

ingekuwa vyema kama ungewapa email ya mtoto wa geti hao unaowajua wanatafuta watoto, you never know mmoja wao angewezajipatia mtoto.
 
Mkuu ningekuwa na uwezo ningeiongezea uimara hiyo mimba ili isitoke kabisa. Usikubali kushiriki Mungu atakulaani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom