Je! Wafahamu kinyesi chaweza leta mambukizi ya ukimwi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je! Wafahamu kinyesi chaweza leta mambukizi ya ukimwi?

Discussion in 'JF Doctor' started by de concious one, Aug 3, 2012.

 1. d

  de concious one Member

  #1
  Aug 3, 2012
  Joined: Jul 25, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Breaking:NEWZ! wanasayansi wa tanzania wamechunguza na kugundua pia KINYESI CHAWEZA SABABISHA MAMBUKIZI YA UKIMWI(ukosefu wa kinga mwilini) Kwa hivyo basi ni vyema kila mtu awe na choo chake kwa kujikinga na kuilinda afya yako.
   
 2. brazilian

  brazilian JF-Expert Member

  #2
  Aug 3, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 607
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Source please!!!!
   
 3. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #3
  Aug 3, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  tetesi au? source pleaseeeeeeeeeeeeeeeeee!
   
Loading...