Uvimbe wa sehemu moja ya pubic.

Apex

JF-Expert Member
Jul 31, 2012
425
61
Jaman ninatatizo la uvimbe kwenye pubic sehemu ya kulia na mda mwingine uvimbe huu ushuka hadi kwenye korodan moja ya upande wa kulia,lakini ajabu ni kwamba uvimbe huu mda mwingine uleta kitu kama korodan ya tatu upande huo wa kulia lakini pia mda mwingine uvimbe korodani hii upanda juu kwenye pubic nakuleta maumivu.pls naomba ushauri kwa mwenye ufahamu na tatizo husika na njia za kumaliza
 
Pole mkuu,kuna wengine hupata kitu kinaitwa mtoki. Mkuu hebu uwe na subira ma dr waje kwa ufumbuzi wa tatizo ila funguka ili hata ushauri uwe murua. Huo uvimbe n kwa muda gani unao,huwa unajirudia baada ya muda gani? Ndiyo unaanza.
 
for how long!tembelea nearest clinic,hernia ina dalili kama hizi,mi sishauri usubiri majibu hapa fka hospitali faster!get well soon!
 
Hernia.... haraka sana nenda kamuone daktari, kwani dawa yake ni operation tu!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom