Armenia yatoa ombi la kununua drones za kivita kutoka Iran

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,000
17,909
ARMENIA YATOA OMBI LA KUNUNUA DRONES ZA KIVITA KUTOKA IRAN.

Nchi ya Armenia imetoa ombi kwa Iran ili iweze kununua drones za kivita kwa ajili ya usalama wa nchi hiyo.

Armenia imekuwa ikikabiliana na mashambulizi kutoka Azerbaijan nchi ambayo inapewa silaha na drones za kivita kutoka Uturuki na Israel.

Haya yanajiri kukiwa na mzozo kati ya mataifa hayo mawili ya jirani.

Amernia ambayo wakazi wake wengi Wakristo imekua inaungwa mkono na Iran na Russia kwa hali na mali.

Azerbaijani ambayo wakazi wake wengi ni waislam imekua ikiungwa mkono na Uturuki na Israel kwa hali na mali.

Azerbaijan amepokea drone za Bayrktar kutoka Uturuki na nyinginezo kutoka Israel kipindi kirefu sasa na Azerbaijani naye soon ataanza kupokea drone za Shaheed na Ayash kutoka Iran.

1666366931321.jpg
 
View attachment 2393869
Vipepeo waliopata soko wa Urusi au wa Uajemi,maana mabeberu wameamua kuwachanganya wateja wa vipepeo wenyewe 🤸🤸
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom