Xi Jinping is a big China problem

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
13,498
51,092
The Chinese charismatic leader Deng Xioping when he came to power after a fierce power struggle in the Chinese communist party correctly identified major problems within that party, Three of those problems were
1. Personality Cult
2. Consolidation of power in one person
3. The problem of handover

The personality cult was a result of Mao Ze dong godlike stature in China even inside the Communist party itself.

While Mao had led China after the 1949 revolution for a period of 5 years of which he was a main man in charge of the policies in the country, plunged a country in a devastating hunger due to his faulty "Great leap forward" policy, a policy that resulted in the great famine that killed tens of millions of the Chinese people. The result of the failing policy resulted in Mao Ze dong resigning from the leadership of the country.

After this painful episode came a cultural revolution where Mao after seing his power eroded, tried to make a comeback by unleashing a so called cutural revolution telling the chinese that that is a way to get rid of the old useless culture and ideas and to embrace modernity, many cultural sites were destroyed, people were made to snitch on one another, even a son to snitch his own father and vice vesa. Educated people were captured, sent to countryside to offer labor and Mao's comrades who didn't go along with him were purged.

After the death of Mao, power struggle ensued in the Communist party, Mao's loyalists wanted to keep power but a group of pragmatic enlightened people in the faction of Deng Xiaoping saw it clearly that, The country can no. long go with the failed policies of Mao, It will be a disaster, So eventually this new faction won the power and cultivsted and supervised reforms that brought so much success to China.

These reforms continued when Jiang Zemin came to power after Deng, He respected the issue of not allowing a personality cult nor letting one person consolidate so much power by himself.

And also when Hu Jintao came to power he followed footsteps, he did the same.

These leaders worked to uplift people's lives and were not so much interested in antagonising the west. Inshort they were building strength of their country while smartly hiding their claws.

During Hu Jintao times, The Chinese knew clearly and very early about the succession plan, they knew that after Hu the next person is Xi Jinping.

Problems started when Xi came to power. He rolled back major political reforms which Deng Xiaoping had initiated.Refused to name a successor, and removed serving terms from the constitution, so now he is a Leader for life!!!.

With the pretext of fighting corruption he purged and continue to purge anyone who doesn't bow to him.

Surprisingly, Xi Jinping who himself was a victim of cultural revolution after his father was purged by Mao, causing him to be exiled in the countryside, You may think that he would embrace Deng's reforms, but he has turn absolutely a Maoist.

When this Corona virus continue to ravage the world and creat so much pain both economically and socially, The chinese people will come to realise that, part of the problem is Xi Jinping's ways of leadership. His leadership is all about control, control and control.

As we speak, millions of the Uighur people are in the concentration camps in China, massive human rights abuses are taking place there. People are forcefully being stripped of their cultural identity and denied religious freedoms as a forced obedience to the party and Xi Jinping's China.

The current Corona virus is another problem, His quest for internal stability and economy, two things which Xi Jinping sees as a pillar for him continuing to rule decided to conceal the true nature of the virus, His government took deliberate measure to hide that the Virus is man to man transmitted obviously for social and economic concerns, As a result of this a critical window to contain the virus was lost. When China came to admitt that there is a man to man transmission of a virus it was too late as millions had already left Wuhan and go all over the world. So how can Xi Jinping evade blames from this pandemic?

While China was using its muscle to influence nations not to close their borders against it even calling those which did so as overreacting, playong racism card, However It was doing the opposite domestically not allowing people with the ID of Hubei from going to other cities. while stopping domestic flights, It was allowing international flights to continue, How can Xi Jinping not be blamed for the International pandemic?.

After Xi Jinping's government claimed success in Hubei he immediately closed International flights to China, Annuled all resident permits and visaz for people who were outside China at that moment, but remember!. His government called governments that did that way to China when it was fighting the hard battle in wuhan overreactive for doing a fraction of what China came to do immediately after thinking they have things in control in Hubei. Isn't this selfish?

But the most devastating of all, Xi Jinping's government in its quest to gain support internally played and amplified nationalism card, rallying people on its side, Unfortunately going even so far as deploying RACISM to rally Chinese people to its side. Whole decades of the China hardwork on the external diplomacy was shattered by Mr Xi Jinping's regime. Africa was a central card in China's International relations, It is the Africa block and Europe that saw China of the Communist party allowed to Join the UN as a legitimate representative of the Chinese people in the UN in 1971. Africa has been a source of raw resources to China and a market for its products, But all these were wiped in just two weeks where the world witnessed a very shocking form of racism from the Chinese under Xi Jinping's watch.

So what is the way forward for China?
Well I just don't see a more growing China under the leadership of Xi Jinping. He has destroyed all secrets that made China to grow very fast. He has given himself so much power and cultivate a personality cult around him.

It is upto to the Chinese people to choose going back to the failed administrarive policies of Mao (Just like Xi Jinping is trying to do) or continue with the wise path of Deng Xioping "with new characteristics"

The choice is in the hands of the chinese people!
 
Propaganda

Xi ndio master mind anaejua kuzichezea vyema hila za US nawanateseka sana kupitia huyu mwamba na anawatesa mnooo

Hizi propaganda wala hazina maana ila nikitulia ntazipitia vyema kabisa

Xi Master Mind UCHINA chini ya huyu jamaa imekua imara sana KISIASA KIUCHUMI MPAKA KIKORONYA jokes(KIJESHI)

Sent using My COVID-19
 
Mr jiping mawazo yake binafsi yameingizwa kwenye katiba ya CPC chama dola, kabla ya hapo ni Mao tu ndie pia mawazo yake yaliingizwa kwenye katiba. Chini ya Jiping, china imekua stable kweli kiuchumi, imeongeza ushawishi mara dufu katika bara la Africa, Europe na America.

Chini ya xi Jiping uchumi wa china umekua hadi pato la ndani la taifa kufikia dola za kimarekani trilioni 14, huku pato la mtu mmoja mmoja likifikia dola elfu kumi kwa mtu.

Biashara, uwekezaji na sayansi na teknologia imekua maradufu mno. Hakukua na jinsi zaidi ya kumpa urais wa maisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mr jiping mawazo yake binafsi yameingizwa kwenye katiba ya CPC chama dola, kabla ya hapo ni Mao tu ndie pia mawazo yake yaliingizwa kwenye katiba. Chini ya Jiping, china imekua stable kweli kiuchumi, imeongeza ushawishi mara dufu katika bara la Africa, Europe na America.

Chini ya xi Jiping uchumi wa china umekua hadi pato la ndani la taifa kufikia dola za kimarekani trilioni 14, huku pato la mtu mmoja mmoja likifikia dola elfu kumi kwa mtu.
Biashara, uwekezaji na sayansi na teknologia imekua maradufu mno. Hakukua na jinsi zaidi ya kumpa urais wa maisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Facts ikiwa wanataka maendeleo na yanapatikanika kwanini wasimpe sasa asee

Sent using My COVID-19
 
Mr jiping mawazo yake binafsi yameingizwa kwenye katiba ya CPC chama dola, kabla ya hapo ni Mao tu ndie pia mawazo yake yaliingizwa kwenye katiba. Chini ya Jiping, china imekua stable kweli kiuchumi, imeongeza ushawishi mara dufu katika bara la Africa, Europe na America.

Chini ya xi Jiping uchumi wa china umekua hadi pato la ndani la taifa kufikia dola za kimarekani trilioni 14, huku pato la mtu mmoja mmoja likifikia dola elfu kumi kwa mtu.
Biashara, uwekezaji na sayansi na teknologia imekua maradufu mno. Hakukua na jinsi zaidi ya kumpa urais wa maisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
What do you mean, that he will live for ever? Isn't that a blasphemy.

Xi made China advance through infamous Intellectual Property Theft, depreciating their currency, deploying prison inmates to production lines and through applying many vices.

However, as things stand right now, the Chinese economy is inevitably on the decline with the much exalted Xi Jing Ping watching helplessly.
 
JIPING nikama PUTIN , bila ya hawa viongozi nazani kusingekua na heshima leo hii
Mr jiping mawazo yake binafsi yameingizwa kwenye katiba ya CPC chama dola, kabla ya hapo ni Mao tu ndie pia mawazo yake yaliingizwa kwenye katiba. Chini ya Jiping, china imekua stable kweli kiuchumi, imeongeza ushawishi mara dufu katika bara la Africa, Europe na America.

Chini ya xi Jiping uchumi wa china umekua hadi pato la ndani la taifa kufikia dola za kimarekani trilioni 14, huku pato la mtu mmoja mmoja likifikia dola elfu kumi kwa mtu.
Biashara, uwekezaji na sayansi na teknologia imekua maradufu mno. Hakukua na jinsi zaidi ya kumpa urais wa maisha.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What do you mean, that he will live for ever? Isn't that a blasphemy.

Xi made China advance through infamous Intellectual Property Theft, depreciating their currency, employing prison inmates to production lines and through applying many vices.

However, as things stand right now, the Chinese economy is inevitably on the decline with the much exalted Xi Jing Ping watching helplessly.
Kama wizi na unyang'anyi na mauaji wanaongoza wamagharibi wakiongozwa na bwana wao US

Kama mnategemea kukishuhudia Angoko la UCHINA mnakosea Sana Maana mnaweza mkaanguka Nyie ila sio UCHINA

XI JINPING=MASTER MIND anayewanyima usingizi wamagharibi pamoja na US.....

Sent using My COVID-19
 
Kama wizi na unyang'anyi na mauaji wanaongoza wamagharibi wakiongozwa na bwana wao US

Kama mnategemea kukishuhudia Angoko la UCHINA mnakosea Sana Maana mnaweza mkaanguka Nyie ila sio UCHINA

XI JINPING=MASTER MIND anayewanyima usingizi wamagharibi pamoja na US.....

Sent using My COVID-19

1. Xi Jinping ndiye kinara wa kutesa watu wa jamii ya Kiislamu huko Xinjiang

2. Ni Kipindi cha Xi Jinping uchumi wa China umeslow

3. Xi Jinping amezidi kuminya uhuru wa wananchi kupata taarifa, wananchi wanalishwa propaganda za chama cha kikomunisti kuliko uhalisia wa yanayojiri duniani kwa mfano Xi Jinping kafungia Google na Youtube, Quora na websotes nyingi za kutoa elimu

4. Xi Jinping na serikali yake waliendesha kampeni ya kupunguza watu weusi waliokuwa wakienda katika mji wa Guangzhou kufanya biashara, Systematically walipiga marufuku hoteli nafuu kuwapokea weusi, wakaacha hoteli za gharama mno ndo ziwe zinapokea watu weusi, Wakafanya masharti ya Viza kwa nchi za Afrika kuwa magumu. Xi Jinping anataka kutumia tekniki ya mikopo (Debt Trap) kuziweka nchi za kiafrika katika himaya ya China

5. Chini ya Xi Jinping, bei za vyakula zimepanda sana na maisha kwa wachina yamekuwa magumu kuliko kipindi cha Hu Jintao

6. Serikali ya Xi Jinping imeonyesha kuvumilia vitendo vibaya vya ubaguzi wa rangi dhidi ya watu weusi, Tuliyoyashuhudia majuzi ya ubaguzi wa kutisha dhidi ya watu weusi yana baraka za serikali ya Xi

7. Serikali ya Xi imekuwa militaristic zaidi kuliko waliotangulia, imekuwa ikitaka kujitanua kibabe, kutaka kuichukua bahari nzima ya South China kwa kudai kuwa ni mali yake, Imezamisha meli ya uvuvi ya vietnam, na kuharass meli za malaysia, Kiufupi ni ujinga kujaribu kunimilikisha bahari kwa madai eti mababu zako walikuwa wsakisafiri kwenye bahari hiyo!. Kama hiyo ingekuwa ni hoja msingi basi Hispania ingedai bahari nzima ya Atlantiki kwa sababu Christopher Columbus alipitia hapo kwenda kuvumbua Americas

8. Xi Jinping anaweza kufanikiwa kuwa powerful leader close to Mao, but hiyo itamaanisha China iliyo dhaifu. China bado ni masikini nyinyi, Kuna mafanikio makubwa katika miji ya Mashariki lakini overall maisha ya watu bado siyo mazuri vya kutosha, mishahara ni midogo na gharama za nyumba haswa mijini ni kubwa sana

9. Kuna consensus ya dunia kwa sasa kuicontain China, hii ni. kwa sababu serikali ya Xi. imesahau ujanja wa watangulizi wake na mbinu yao ya kufukuza "mwizi kimyakimya", Yeye amejisanua wazi, Kafanya parade ya miaka 70 ya China mya na kuonyesha misalaha mikubwakubwa, na kuwafanya west waone kuwa kumbe hawa strategy yao ni. kuwa na uwezo hata wa kuwaangamiza west kwa kuwa na capacity ya kuwapelekra nyukilia kwao. Nila Shaka display ile ya Xi Jinping imewapa NATO uhalali mpya wa kuendelea kuwepo, na kama unavyojua Silaha zinahitaji uchumi, Kitu cha kwanza West watakachokifanya ni kuminya uchumi wa China ili pesa zikalishe watu badala ya kuendelea na programu za misilaha ya kuwadhuru. Xi Jinping anataka kujitanua dunia ione China ilivyo na ngumu, Dunia sasa inapush back

10. Xi Jinping ameshindwa kuelewa siri ya ukimya ya jamii ya China Japo uchumi ulikuwa ukiwapa utulivu wachina, hata ile notion ya uwepo wa mabadiriko ya kiuongozi kila baada ya miaka kumi ilikuwa ni kitu kinachoipa utulivu jamii ya kichina, Kama unavyojua wavhina hawana haki nyingi za kisiasa, ila lile jambo la uwepo wa mabadiriko ya uongozi lilikuwa linasaidia kuifanya nchi iwe na utulivu. Xi Jinping kaondoa term limits na kutaka atawale milele iwapo Mataifa ya dunia yataendelea kuipiga presha China, na investments na Trade kati ya mataifa na China kupungua Xi Jinping atashindwa kwenye ajenda ya uchumi, na kwa kuwa ameshaondoa mlango wa mabadiriko ya amani ya uongozi atslazimika kujiuzulu, au kutokee power struggle ndani ya chama chake, akiwa mbishi kutaanza kutokea fujo mitaani huko China. Kiufupi Xi alikuwa shortsighted kuondoa term limits
 
Umejitahidi kuandika mambo mengi ila upande wangu ninaona una chuki na mzee wa watu. Mimi nipo China na huu mwaka wa tatu, nina girl friend wa kichina ambaye nimezunguka naye maeneo mengi kwa ajili ya utalii nk na hata kuadhimisha miaka 70 ya kuanzisha taifa lao, nilikuwepo hiyo siku hapo Tiananmen square. Nikwambie wazi, wachina ni wazalendo sana kwa nchi yao, wanachina wana descipline sana juu ya viongozi wao. Xi Jingping anapendwa sana hapa China, ukiacha Mao na kiongozi aliyemrithi akafungua uchumi wa China kuanzia ile miaka ya 1978.

Na mwaka huu ana mpango wa kutokomeza umaskini hapa China, mpango wao wa kutokomeza umaskini ulianza miaka 42 iliyopita. Hii CCP kama chama tawala, kinatofautiana sana na vyama vingi huko africa kwa sababu wao ni wazalendo mno kwa taifa lao na kuwatumikia watu, nilijua hapa China hakuna rushwa ila zipo ingawa sio ya wazi sana kwa maana nimekuwa nafanya kazi Chini ya mradi flani so walau nimezunguka vijijini na mjini. Wazungu inabidi waje na mkakati kabambe otherwise China is prospering even higher
 
Umejitahidi kuandika mambo mengi ila upande wangu ninaona una chuki na mzee wa watu. Mimi nipo China na huu mwaka wa tatu, nina girl friend wa kichina ambaye nimezunguka naye maeneo mengi kwa ajili ya utalii nk na hata kuadhimisha miaka 70 ya kuanzisha taifa lao, nilikuwepo hiyo siku hapo Tiananmen square. Nikwambie wazi, wachina ni wazalendo sana kwa nchi yao, wanachina wana descipline sana juu ya viongozi wao. Xi Jingping anapendwa sana hapa China, ukiacha Mao na kiongozi aliyemrithi akafungua uchumi wa China kuanzia ile miaka ya 1978. Na mwaka huu ana mpango wa kutokomeza umaskini hapa China, mpango wao wa kutokomeza umaskini ulianza miaka 42 iliyopita. Hii CCP kama chama tawala, kinatofautiana sana na vyama vingi huko africa kwa sababu wao ni wazalendo mno kwa taifa lao na kuwatumikia watu, nilijua hapa China hakuna rushwa ila zipo ingawa sio ya wazi sana kwa maana nimekuwa nafanya kazi Chini ya mradi flani so walau nimezunguka vijijini na mjini. Wazungu inabidi waje na mkakati kabambe otherwise China is prospering even higher

Una demu wa Kichina basi umeona maisha China swaafi eh?

Una bahati wewe, Zamani kwenye vyuo vya wachina ilikuwa ukichukua demu wa kichina, vijana wa kiume wa kichina walikuwa wanafunga mabweni kuja kulianzisha. Hawataki mtu mweusi achukue binti yao.

Siku hizi kwenye mitandao yao ya kijamii wachina kutwa kutukana na kudharau watu weusi.
 
Mtanzania naemtetea mchina namuona kama mbuzi tu
Sio mbuzi nataka unione kama Mbwa au Nguriwe Sita acha Kuusema Ukweli Nawala Simtetei mtu hoja nikwamba nausema ukweli kwahio kama ikitokea Umemaind hamna shida hilo juu yako wewe MKUU mimi halinihusu nanayaheshimu sana kama nimawazo yako kwahio kama unaniona mbuzi kwa 20% ongeza ongeza hata unione mbuzi kwa 80% sawa MKUU ?!.....

Sent using My COVID-19
 
Una demu wa Kichina basi umeona maisha China swaafi eh?

Una bahati wewe, Zamani kwenye vyuo vya wachina ilikuwa ukichukua demu wa kichina, vijana wa kiume wa kichina walikuwa wanafunga mabweni kuja kulianzisha. Hawataki mtu mweusi achukue binti yao.

Siku hizi kwenye mitandao yao ya kijamii wachina kutwa kutukana na kudharau watu weusi.
Kwahio hao wachina wanao bagua watu weusi ndio wanaiwakilisha UCHINA nzima ?!

Mbna huko EUROPE Ubaguzi yupo Nna Jamaa wangu mmoja yupo SWEDEN nna Mmoja Yupo BELGIUM nna Mmoja yupo CHINA mbna kote kuna ubaguzi MKUU ijapokua Haupingiki Ukweli kama UCHINA ubaguzi umezidi hasa maeneo ya tian mei kama sijakosea spelling ila haimaanishi kama EUROPE hakuna Ubaguzi

Kwahio kwenye suala laubaguzi wote wabaguzi tu maana kuzidiana sio ishu kama wote wanahio hulka.....

Sent using My COVID-19
 
Back
Top Bottom