Shirika la umeme la Ukraine ,Ukrenergo limewataka wateja wake wawe wakichaji simu zao mapema na tochi kwani hali ya upatikanaji wa umeme imezidi kuwa mbaya huku hofu ya kushambuliwa zaidi kwa vinu...
Urusi imeamua kuwa Taifa la kigaidi na kila mtu mwenye akili amesha juwa nia ovu ya Urusi dhidi ya Ukraine na Dunia yote kwa ujumla.
Ujinga anao ufanya Putin ndio ujinga aliufanya Stalin na...
17 OCTOBER 2022
In accordance with the Federal Advisory Committee Act, the Centers for Disease Control and Prevention (CDC), located within the Department of Health and Human Services (HHS)...
Hivi umewahi kufikiria dunia ya leo ingekuwaje bila Urusi?
Kwamba Marekani na washirika wake ndo wangekuwa na nguvu ya kusema na kutenda wanavyotaka ingekuwaje?
Kwamba kila azimio kwenye...
Mapolisi ya kijihadi yanazunguka kwenye shule za wasichana na kutembeza kichapo cha mbwa kwa vibinti huku wakisababisha mauaji, hii yote kisa wanampigania "mungu" na uislamu....
Huku mayatollah...
Moto ni ule ule....mbele kwa mbele.
======
KYIV, Ukraine (AP) — Pro-Kremlin officials on Sunday blamed Ukraine for a rocket attack that struck the mayor’s office in a key Ukrainian city...
Luteni colonel Daniel Davis wa Marekani awalipua majenerali wa jeshi la Marekani kwa kuiongopea dunia ktk muda wa miezi minne iliyopita wa vita vya Ukraine kuwa Ukraine inashinda/ingeshinda vita...
Zelensky alianza na mbinu za kishamba eti wanajeshi wake wakishambuliwa wakajifiche kwenye makazi ya raia ionekane urusi anashambulia raia.
Baada ya mwanaume wa shoka(Putin)kugundua hilo alitoa...
Hali ya Sintofahamu imejitokeza Katika Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) baada ya Rais Félix Tshisekedi kumteua Jenerali Floribert Kisembo Bahemuka aliyefariki mnamo Mwaka 2011 kwa...
Maandamano yanaendelea nchi kama Italy, France na Germany kupinga hali ngumu ya maisha pamoja na NATO, nastaajabu kuona habari hizi hazipewi headline, kwanini ?
Alipambana na kukamilisha mchuano nywele zikiwa nje akiwa huko Korea, sasa amegeuza nyumbani Iran na kupokelewa na maelfu ya wananchi amao wamechoka dhuluma za kidini, ila pia majihadi yanamsubiri...
Ndio fasheni sasa, ukijihami kwa nyuklia unakua na uhuru wa kufanya chochote, Urusi manyuklia yake yamemuwezesha kunyanyasa vitaifa vidogo vilivyomzunguka.
Korea Kusini wamechoka vitisho vya Kim...
Tukio hilo limefanywa na watu wenye silaha za moto ambapo hawajajulikana na inaelezwa pia wamewateka ndugu waliokuwa wakiuguza wagonjwa katika Jimbo la Niger.
Hakuna tamko rasmi la idadi ya watu...
Kwa kichapo ambacho Warusi wamekua wakipokea, tumeshuhudia hadi timu humu JF walikua wameufyata kwa aibu, ila baada ya huyu jenerali kuteuliwa kuongoza mashambulizi, ghafla nimeona muamko mpya...
Mkutano Mkuu wa 20 wa Wajumbe Wote wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) unafanyika mjini Beijing. Akihutubia katika ufunguzi wa Mkutano huo, Katibu Mkuu wa CPC Xi Jinping amesisitiza kuwa...
Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imefahamisha kuwa utawala wa rais Joe Biden utatoa dola milioni 2 kwa nchi ya Cuba ili kusaidia juhudi za uokozi wa dharura baada ya kimbunga Ian.
Serikali ya...
.
The youth delegation from Bangladesh called on President Droupadi Murmu in New Delhi on Friday
Delegation members, the President said that they all are future leaders of Bangladesh and the...
Siku ya Takwimu Duniani huwa tarehe 20 Oktoba kila baada ya miaka mitano, ambayo ina maana kwamba kila baada ya nusu muongo, takwimu kuhusu maisha yetu na mambo yanayohusiana huchunguzwa na...
Tajiri na mmiliki wa Space X na Starlink iliyoliyokua ikiipatia mawasiliano ya internet bure Jeshi la Ukraine ametoa tahadhari kua uwezo wa Russia kuangamiza USA na Ulaya ndani ya dakika 30 ni...
Majeshi ya Marekani yamefanikiwa kumuua kiongozi muhimu wa kikundi cha kigaidi cha Al Shabaab nchini Somalia.
Kikundi hicho cha kigaidi kina mafungamano na kikundi cha kigaidi cha Al Qaeda ambaye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.