Greencard results out.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Greencard results out..

Discussion in 'International Forum' started by phina, May 26, 2012.

 1. phina

  phina JF-Expert Member

  #1
  May 26, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 414
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wadau.,
  Wale waliojaza form za kuomba green card matokeo ya round ya kwanza yametoka!
  all the best
   
 2. V

  Visionmark Senior Member

  #2
  May 26, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aise phina mimi napenda tu unifahamishe mchakato mzima khsiana na hilo zoezi la kupata hiyo green card mpaka mtu anafikia hatua ya kwenda kuishi Marekani, huwa inakuwakuwaje hasa?!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. wehoodie

  wehoodie JF-Expert Member

  #3
  May 26, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 784
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 80
  mbona yametoka toka mei mosi....imebaki raundi ya pili october.
   
 4. MFYU

  MFYU JF-Expert Member

  #4
  Aug 3, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  ..Guys mi nimekua selectd! Je kuna mwenzangu aliechaguliwa?
   
 5. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #5
  Aug 3, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Jipangeni sasa kwa ajili ya kupima afya zenu, Moyo, HIV, Macho, na magonjwa mengine kama mpo Tanzania kuna Hosptali yao ambayo wanaikubali ipo msasani namanga lazima uwe na $800 macho wanapima pale shoprite.
   
 6. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #6
  Aug 3, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,754
  Likes Received: 82,732
  Trophy Points: 280
  Mhhh! ulishawahi kushinda nini Mkuu Ritz au ni mtu wako wa karibu aliwahi kubahatika? Kila la heri kwa waliobahatika muanze kududulinza vijisenti vya kuanzia maisha.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #7
  Aug 3, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Hapa sio mie kuna jamaa yangu alishinda Greencard...angalizo kuna Greencard za wa Nigeria vile vile za utapeli wanakuambia umeshinda tuma $300 kwa ajili ya gharama.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. MFYU

  MFYU JF-Expert Member

  #8
  Aug 4, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Nan kasema 800$! Io hosptal kwel ipo namanga apo best byte..bt co 800$...sh.laki 3 za ktanzania tu! Visa fees mwaka hu ni $350..new reducd fiiz,tofaut na miaka mingne ya nyuma ilikua 800,nadhan umechanganya na io medico!
   
 9. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #9
  Aug 4, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Sidhani kama kuna haja ya kubishana nilichokiandika nina uhakika nacho mpaka visa ulikuwa unalipia labda mwaka huu wamebadili kwa wale waliobahatika kupata greencard miaka miwili au mitatu ya nyuma watanisaidia.
   
 10. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #10
  Aug 4, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,404
  Trophy Points: 280
  Umekalili mkuu!!! Hospital moja ipo namanga ndio nini?
   
 11. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #11
  Aug 4, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Ebu nisome vizuri sio kuropoka tu hayo maneno ni yako...mie nimeandika kuna hospital ipo msasani namanga kwa mtu anaeijua Dar anaelewea Msasani Namaga ni wapi.

  Halafu sio kukalili ni kukariri.
   
 12. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #12
  Aug 4, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Hivi bado mna ndoto za kuishi ulaya??!!
   
 13. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #13
  Aug 4, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,562
  Trophy Points: 280
  Out of topic .. Nani kasema anandoto ya kuishi ulaya?
   
 14. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #14
  Aug 4, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Mkuu ebu tufahamishe kumbe unaweza kushinda US Greencard halafu ukaenda kuishi Ulaya.
   
 15. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #15
  Aug 4, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  When i said ulaya i meant nchi za nje.. Marekani europe kote ni ulaya.. Greencard ya nini tulieni bongo.. Wenzio wamarekani wanakimbia huko wanakuja kula nchi yetu hapa
   
 16. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #16
  Aug 4, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,404
  Trophy Points: 280
  Toa jibu moja hospital flan sio umesikia maneno ya vijiweni then unakuja kutuambia hospital flan ipo msasani acha ujuaji mkuu,hospital inaitwa Primary care ipo Best bite acha kukurupuka na sio kwamba unatoa 800$ ya hospital,na pia medical exermination fee ni kama 660,000/=,kama haujui uliza na unabaki tu kukosoa herufi utaishia hvyo hvyo na maneno yako ya vijiweni.....Primary care ipo msasani??? Best bite ndio msasani??
   
 17. Mzuzu

  Mzuzu JF-Expert Member

  #17
  Aug 4, 2012
  Joined: Jul 11, 2007
  Messages: 487
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45

  Ni Premier Care mkuu not Primary..
   
 18. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #18
  Aug 4, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,404
  Trophy Points: 280
  Yale yaleeeeeeee!
   
 19. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #19
  Aug 4, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Naona unazidi kufatuka halafu hujui chochote mambo ya best bite nani kakauambia hiyo fee ya 660,000 ya lini? Labda hiyo sasa hivi sio miaka miwili ya nyuma...halafu kuna gharama za kwenda kwa Optician pale Shoprite unalipa 100,000 Visa ya Marekani ilikuwa $800 kweli mie ni mtu wa vijiweni lakini ndio nakufahamisha hujue kama Visa ni bure labda sasa hivi.
   
 20. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #20
  Aug 4, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Yale yale vipi wakati hujui hata hiyo hospital inaitwaje eti inaitwa Primary Care ngoja basi nikufahamishe...

  Inaitwa Premier Care ipo All Hassan Mwinyi Road, Namanga karibia na Best Bite kwa Dr Omar Awadh na Dr Pierre Berva.
   
Loading...