Wagner Group recruits prisoners with HIV and hepatitis

MT255

JF-Expert Member
May 3, 2012
3,381
4,648
HII KWELI KIBOKO HADI WAATHIRIKA WA HIV WANAPELEKWA VITANI KWA NGUVU

STANISLAV POHORILOV — TUESDAY, 25 OCTOBER 2022, 11:34
The Russian private military company Wagner has started to recruit large numbers of prisoners who are suffering from serious infectious diseases such as HIV and hepatitis C for the war in Ukraine. The phenomenon has already become widespread.

Source: press service of Ukraine’s Defence Intelligence

Details: The fact that more than a hundred prisoners with confirmed HIV or hepatitis C have been recruited at Penal Colony No. 5 in Metalostroy (Leningrad Oblast, Russia) alone shows that this phenomenon is widespread.

The Wagner Group command "marks" the infected soldiers by forcing prisoners to wear red wristbands if they are HIV-positive and white ones if they have hepatitis.

According to the intelligence, the fighters are becoming angry about this situation. Russian medics are known to routinely refuse to treat injured [soldiers] with hepatitis or HIV.

Several fighters with HIV or hepatitis are already in Ukrainian captivity and have confirmed the information about the mass recruitment of infected prisoners by Wagner.

We have launched English Twitter! Follow us!

Previously: In early September, a video was posted online showing the oligarch Yevgeny Prigozhin, who is close to Vladimir Putin and founded the so-called Wagner Private Military Company, personally encouraging Russian prisoners to go to fight in Ukraine.

Chanzo:

IMG_1739.jpg
 
Kwahio ulitaka watengwe ? Nyie ndio wale mtu akiugua hamtaki kumosogelea au kufanya nae kazi.....

Can they Pull a Trigger ? Mimi ningekuwa hao ningeona ni poa tu as nimepata opportunity ya kuchangia kwa uwezo wangu
 
Kwa akili yako unaona ni sahihi kwa wagonjwa hao kuwa vitani?!!unafahamu uzito wa magonjwa hayo,hasa pale anapokuwa ametumia dawa zake?!
 
Unadhani vita vinachagua ? au Kuna suala la Humanity kwenye Vita ?

Lingekuwepo kusingekuwa na Vita in the first place
 
hata hueleweki!!unaposema vita haichagui inategemea na muktadha unaozungumzia,Hata jeshini kuna watu ambao kutokana na hali zao kiafya,wanalazimika kupangiwa majukumu mengine,na sio yale ya kwenye uwanja wa mapambano,yaani upeleke wagonjwa kisha utegemee ushindi?!!hao wagner ni mamruki tu,ndio maana hawajali afya za watu,wafe wasife hawana hasara.
 
Kwahio wewe hapa unajua kuliko wao ?

Wewe ni Mtanzania ? Uliza kipindi cha Vita vya uganda mwanzo mwanzo walikuwa wanakwenda kina nani (Chambo) kama sio mgambo..., vita vikiendelea kwa muda mrefu recruitment ni kila mtu (inafika wakati kila nyumba above 18 mnapigwa msasa wa wiki chache mnapelekwa kwenye uwanja wa mapambano)

Sasa kama hao wapo Waharifu na wanaweza kuminya trigger unategemea nini kwamba wabaki wakati wenzao kule upande wapili hadi vibibi vinachukua silaha kuingia kwenye mapambano ?

Hivi watu mnadhani realistically vita ni kama Video Games ? Hizo rules of Engagement zinapatikana kwenye theory tu... When push comes to shove everything goes....
 
mimi hoja yangu haihusiani na wafungwa bali ni hao wagonjwa wa Hiv na hepatities!!!.Na ina kuwaje JITAIFA kama URUSI,ambaye tuliaminishwa kwa miaka mingi sana kuwa ni taifa hatari sana duniani kwenye medani za kivita,kuanza kutumia njia hiyo?!!
 
Moja; Siwezi kuwapangia watu strategy zao

Mbili: Njia kama hizo ukimaanisha nini kwamba hao sio warusi au hawawezi kuminya trigger ?, Vita sio lelemama na mengi yanafanyika kuna nchi zinarecruit mpaka watoto wadogo as time goes on hakuna tena ku-volunteer bali ni kulazimishwa (unfortunately that's the way of life)

Tatu; hata ukitafuta uzi wangu tangia vita hivi vinaanza nilisema no ones wins a war bali kuna different stages of causalities hususan vita vya kuingia kwenye nchi za watu na kuchaguliwa silaha za kutumia..., muulize mmarekani Somalia au Vietnam ni nini kilimkuta..., vita ambavyo hujui nani ni nani na wanajeshi kujificha kwenye watoto au katikati ya civilians.., ila kwa sasa Russia wakiacha kuogopa propaganda na ikawa ni mwendo wa kusambaza mabomu kama USA alivyofanya Vietnam au Iran na bado hakufanikiwa huenda hivi vita vikafikia tamati unless otherwise ni mwendo wa never ending struggle huku civilians wakiumia....

Pia vita vya sasa vimebadilika sio mambo ya infantry soldiers kama zamani mnapanga mstari na majambia na magobole...., leo hii kila mtu akiamua kutumia their best and "Big Guns".... its Bye bye Earth.....
 
Moja; Siwezi kuwapangia watu strategy zao

Mbili: Njia kama hizo ukimaanisha nini kwamba hao sio warusi au hawawezi kuminya trigger ?, Vita sio lelemama na mengi yanafanyika kuna nchi zinarecruit mpaka watoto wadogo as time goes on hakuna tena ku-volunteer bali ni kulazimishwa (unfortunately that's the way of life)

Tatu; hata ukitafuta uzi wangu tangia vita hivi vinaanza nilisema no ones wins a war bali kuna different stages of causalities hususan vita vya kuingia kwenye nchi za watu na kuchaguliwa silaha za kutumia..., muulize mmarekani Somalia au Vietnam ni nini kilimkuta..., vita ambavyo hujui nani ni nani na wanajeshi kujificha kwenye watoto au katikati ya civilians.., ila kwa sasa Russia wakiacha kuogopa propaganda na ikawa ni mwendo wa kusambaza mabomu kama USA alivyofanya Vietnam au Iran na bado hakufanikiwa huenda hivi vita vikafikia tamati unless otherwise ni mwendo wa never ending struggle huku civilians wakiumia....

Pia vita vya sasa vimebadilika sio mambo ya infantry soldiers kama zamani mnapanga mstari kila mtu akiamua kutumia their best and "Big Guns" its Bye bye Earth.....
Pia vita vya sasa vimebadilika sio mambo ya infantry soldiers kama zamani mnapanga mstari kila mtu akiamua kutumia their best and "Big Guns" its Bye bye,,,,,,,Si umeona huko kiyv zinatelemka rocket
 
Back
Top Bottom