International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Tamko hilo linafuatia mahojiano ya Khama kueleza kuwa ana taarifa Serikali ya Rais Mokgweetsi Masisi inapanga kumkamata na kumuwekea Sumu atakaporejea Nchini humo kutoka Afrika Kusini anakoishi...
0 Reactions
2 Replies
958 Views
Both CNN and FOX News Do Stories about "De-Dollarization." If MSM is covering this, it's because Fedgovernor knows what's coming. 27 MARCH 2023 For literally decades, people scoffed at the so...
1 Reactions
0 Replies
975 Views
Msitunge sheria zenu kutaka kuzuia Moise Katumbi kugombea Urais Siku zote mlikuwa kimya baada ya kusikia Moise Katumbi anataka kugombea Urais ndipo wanajifanya kulalamika na sheria zao za kibaguzi...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Dunia inazidi kushuhudia mabadiliko taratibu huku macho ya wengi yakielekezwa Ufaransa ambapo waandamanaji wakizidi kuongezeka kwa kasi. Baada ya Macron kupandisha umri wa kustafu kutoka 62-64...
16 Reactions
92 Replies
6K Views
Serikali ya Armenia iko katika mpango wa kusaini rasmi mkataba wa Rome wa kujiunga na mahakama ya ICC. Hata hivyo wakati mchakato huo ukiendelea Mahakama kuu ya katiba nchini Armenia tayari imetoa...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Si rahisi kama weng wanavyofikiria, ICC haina ubavu wa kumshika Putin huyu jamaa ana uwezo wa kwenda Le Poisson Rouge night club, Manhattan Club Marekani na akala bata na hakuna wa kimshika...
13 Reactions
48 Replies
3K Views
Hizi aina mpya za drones ni muziki tofauti. Ukrainian forces just destroyed two expensive Russian air defense systems using one of their new loitering attack drones according to a video released...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
OPERATION SANDMAN now activated. Saudi Arabia announces END of dollar dominance in global oil trade. The dominoes are beginning to fall on the US evil empire Wednesday, January 18, 2023 As we...
12 Reactions
250 Replies
14K Views
Korea Kaskazini imezindua vichwa vidogo vya nyuklia ambavyo imesema vinaweza kuwekwa kwenye makombora ya masafa mafupi. Korea Kaskazini kwa muda mrefu imekuwa ikidai kuwa na silaha za nyuklia...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Watu waandamana nje ya kituo cha wahamiaji cha Mexico baada ya moto kuzuka katika kituo hicho, Machi 28, 2023 Takriban watu 40 wamefariki na wengine 29 kujeruhiwa baada ya moto kuzuka katika...
0 Reactions
2 Replies
844 Views
Ulaya na Marekani, Serikali inawajibika kwa wananchi ila Uarabuni na Urusi wananchi ndiyo wanawajibika kwa serikali. Matokeo yake Marekani na Ulaya inawezekana wananchi kuandamana kwa maelfu...
11 Reactions
60 Replies
4K Views
Baada ya Bunge la Congo kujiandaa kupitisha sheria itakayomfanya Moise Katumbi asigombee urais huku kundi la watoto Wakatanga nao wakijindaa kupitisha saini ya kuwasilisha maombi yao ya kujitenaga...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Tanzania tuna kheri sana Nawatazama Wafaransa na Waisrael kupigia BBC hakika Maandamano siyo mchezo Watu hawaandamani kutetea ulaji wa wanasiasa kama Sisi waafrika Watu wanaandamana bila...
4 Reactions
5 Replies
762 Views
Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris ana nia ya kutembelea nyumba ambayo aliwahi kuishi na babu yake miaka ya 1960, jambo ambalo imesababisha msako wa nyumba hiyo kuanza, gazeti la Times la...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Jaribio lolote la kumkamata Rais Putin nje ya mipaka ya Urusi litakuwa Sawa na tangazo rasmi la Vita, tutatumia kila Silaha tuliyonayo kutoa majibu ya uhakika na Dunia itashuhudia kile ambacho...
21 Reactions
112 Replies
9K Views
Wajumbe wawili wa Bunge la Israel(Knesset) wametambulisha muswada ambao ukiidhinishwa itakuwa ni kinyume cha sheria kuwaambia watu habari za Yesu kwenye Taifa la Israel na hukumu itakuwa kifungo...
12 Reactions
104 Replies
7K Views
Kwa mara nyingine tena Baraza la usalama la Umoja wa mataifa limepitisha azimio la kurefusha vikwazo dhidi ya Sudan. Azimio hilo nambari 2676 la mwaka 2023 lililotolewa na Marekani, limepitishwa...
2 Reactions
3 Replies
662 Views
Vladimir Zhirinovsky, the leader of the Liberal Democratic Party of Russia. The head of the populist-nationalist Russian LDPR party has warned that the Kiev regime is repeating Serbia's steps of...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kabila alifanya makosa mengi ndani ya nchi yetu nillimsamehe lakini ili la kuwaachia Wakasai (Waluba) madaraka siwezi kumsamehe kabisa. Najua alifanya yote haya kwa lengo la kukomoa Moise Katumbi...
6 Reactions
26 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…