This Diplomat has JPM's DNA

This Diplomat has JPM's DNA

Ochuna, buturi, shirati, utegi, wagire, kamageta omera katika ubora wako ni kweli kabisa dah big up anyuola!!
 
Alivyopangiwa Malawi wengi walimcheka kwamba katupwa jalalani kumbe Mhe. Balozi mtazamo wake kwenye kazi ni sawa na mtazamo wa aliyemfinyanga kuwa hivyo yaani Mhe. JPM ambaye hata ungempa kuwa Waziri wa njaa bado angehakikisha watu wanashiba. Mhe
Balozi amedhihirisha kuwa kumbe hata kuwa Balozi kwenye nchi maskini bado tu unaweza uka-rise na kuwa kwenye international platforms.
 
🤣🤣🤣🤣🤣
Haters bwana!!

Wanajifanya wamesahau kuwa huyo slowslow ni mtoto wa mjini kikwete aliyemuibua na kumuweka hadi kwenye bunge la katiba (alimuibua makonda pia) na jpm (r.i.p) alimkura akiwa ameshaaandaliwa (ametolewa ushamba).

Wanajifanya wanasahau kuwa ni mama samia aliyeamua kumpa heshima hiyo na ni mama samia huyohuyo aliyeamuru msaada huo uende huko na hatimaye mtu wenu kuonekana.

Wanajifanya kusahau pia kuwa ni ustaarabu (kutokuwa na visasi) na kuelimika kwa mama ndiko kunakomfanya mtu wenu aonekane leo kwani alishachanganyikiwa huyo baada ya jpm (ulaji) kuondoka, alibaki tu kuanzisha nonsense school kujaribu kumtikisa mama. Kama ingekuwa enzi zile za visasi, angechinjiwa baharini vibaya sanaaa. Siku anamuapisha, mama alisema, 'slowslow ukitoka hapa utakuja ofisini tuongee na kuelekezana....'. Tangu hapo amekuwa mwenye kuonyesha uhodari sana katika kazi yake. Ni mlezi bora kiasi gani huyu mama!!! Haters hawalioni na wala hawataki kulisikia kwa jinsi walivyojaa chuki wanabaki kujaribu kujipunguzia stress kwa kusifiasifia hadi vitu vya kijinga......eti anatembea vizuri😂😂😂😂😂😂
 
Soon ataenda kutuwakilisha huko Antarctica [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Japo kuna mahali aliniumiza ila kwa wakati wake alijitahidi.

Soko la ajira aliliminya sana na akaajiri watu wake.

Let him Rest Well.
 
Alivyopangiwa Malawi wengi walimcheka kwamba katupwa jalalani kumbe Mhe. Balozi mtazamo wake kwenye kazi ni sawa na mtazamo wa aliyemfinyanga kuwa hivyo yaani Mhe. JPM ambaye hata ungempa kuwa Waziri wa njaa bado angehakikisha watu wanashiba. Mhe
Balozi amedhihirisha kuwa kumbe hata kuwa Balozi kwenye nchi maskini bado tu unaweza uka-rise na kuwa kwenye international platforms.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Ukweli ni kuwa walioanzisha gumzo hilo ni walinda legacy wenyewe; lengo likiwa ni kujaribu kuuaminisha umma kuwa mama anavuruga chochote kilichoachwa na jpm. Wanapoona uamuzi wake unaleta mafanikio, mnageuza tena kibao. Kiufupi mmekwama sana na mnaowachukia wanazidi kukuacheni.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haters bwana!!

Wanajifanya wamesahau kuwa huyo slowslow ni mtoto wa mjini kikwete aliyemuibua na kumuweka hadi kwenye bunge la katiba (alimuibua makonda pia) na jpm (r.i.p) alimkura akiwa ameshaaandaliwa (ametolewa ushamba).

Wanajifanya wanasahau kuwa ni mama samia aliyeamua kumpa heshima hiyo na ni mama samia huyohuyo aliyeamuru msaada huo uende huko na hatimaye mtu wenu kuonekana.

Wanajifanya kusahau pia kuwa ni ustaarabu (kutokuwa na visasi) na kuelimika kwa mama ndiko kunakomfanya mtu wenu aonekane leo kwani alishachanganyikiwa huyo baada ya jpm (ulaji) kuondoka, alibaki tu kuanzisha nonsense school kujaribu kumtikisa mama. Kama ingekuwa enzi zile za visasi, angechinjiwa baharini vibaya sanaaa. Siku anamuapisha, mama alisema, 'slowslow ukitoka hapa utakuja ofisini tuongee na kuelekezana....'. Tangu hapo amekuwa mwenye kuonyesha uhodari sana katika kazi yake. Ni mlezi bora kiasi gani huyu mama!!! Haters hawalioni na wala hawataki kulisikia kwa jinsi walivyojaa chuki wanabaki kujaribu kujipunguzia stress kwa kusifiasifia hadi vitu vya kijinga......eti anatembea vizuri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui nn ulitaka kuandika, mie ninashindwa kukuelewa kabisa,sijui unalalimika!?, sijui unanung'unika!?, mie sikuelewi kbs,fanya uamuzi mmoja,nenda kapungwe ili uondolewe hayo mapepo ya chuki,au ukaombewe na walokole.unaonekana unachuki za nyoka.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ukweli ni kuwa walioanzisha gumzo hilo ni walinda legacy wenyewe; lengo likiwa ni kujaribu kuuaminisha umma kuwa mama anavuruga chochote kilichoachwa na jpm. Wanapoona uamuzi wake unaleta mafanikio, mnageuza tena kibao. Kiufupi mmekwama sana na mnaowachukia wanazidi kukuacheni.
Kuonyesha alichokifanya polepole ni kulinda legacy? Kweli shetani ni watu,sio mawe.
 
🤣🤣🤣🤣🤣
Haters bwana!!

Wanajifanya wamesahau kuwa huyo slowslow ni mtoto wa mjini kikwete aliyemuibua na kumuweka hadi kwenye bunge la katiba (alimuibua makonda pia) na jpm (r.i.p) alimkura akiwa ameshaaandaliwa (ametolewa ushamba).

Wanajifanya wanasahau kuwa ni mama samia aliyeamua kumpa heshima hiyo na ni mama samia huyohuyo aliyeamuru msaada huo uende huko na hatimaye mtu wenu kuonekana.

Wanajifanya kusahau pia kuwa ni ustaarabu (kutokuwa na visasi) na kuelimika kwa mama ndiko kunakomfanya mtu wenu aonekane leo kwani alishachanganyikiwa huyo baada ya jpm (ulaji) kuondoka, alibaki tu kuanzisha nonsense school kujaribu kumtikisa mama. Kama ingekuwa enzi zile za visasi, angechinjiwa baharini vibaya sanaaa. Siku anamuapisha, mama alisema, 'slowslow ukitoka hapa utakuja ofisini tuongee na kuelekezana....'. Tangu hapo amekuwa mwenye kuonyesha uhodari sana katika kazi yake. Ni mlezi bora kiasi gani huyu mama!!! Haters hawalioni na wala hawataki kulisikia kwa jinsi walivyojaa chuki wanabaki kujaribu kujipunguzia stress kwa kusifiasifia hadi vitu vya kijinga......eti anatembea vizuri😂😂😂😂😂😂
Kabisa mama akiamua huyu jamaa arudi kulima ni sekunde tu
 
Sijui nn ulitaka kuandika, mie ninashindwa kukuelewa kabisa,sijui unalalimika!?, sijui unanung'unika!?, mie sikuelewi kbs,fanya uamuzi mmoja,nenda kapungwe ili uondolewe hayo mapepo ya chuki,au ukaombewe na walokole.unaonekana unachuki za nyoka.
Inawezekana haikuwa kwa ajili yako, we endelea na unazozielewa! Kukusaidia tu, hapo sijalalamika wala kunung'unika sababu sina sababu yeyote ya kufanya hivyo; hapo mi nimefurahi tu (kivyangu) na unafiki wa watu......haters!
 
Alivyopangiwa Malawi wengi walimcheka kwamba katupwa jalalani kumbe Mhe. Balozi mtazamo wake kwenye kazi ni sawa na mtazamo wa aliyemfinyanga kuwa hivyo yaani Mhe. JPM ambaye hata ungempa kuwa Waziri wa njaa bado angehakikisha watu wanashiba. Mhe
Balozi amedhihirisha kuwa kumbe hata kuwa Balozi kwenye nchi maskini bado tu unaweza uka-rise na kuwa kwenye international platforms.
Exactly anyuola
 
This is the one.

This is the person who can inspire that section in our society.

The section which has now been discarded and neglected.

He has been given time to prepare himself and one day he will be come around.

He will lead that party we all want it to take over.

CCM don't need to be scared of it because its the party established by them, in them and with them.

Just confirm its existence and allow it to flourish.

I think comrade " The Diplomat" know what I mean.
 
Back
Top Bottom