kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,793
- 5,053
Baada ya Bunge la Congo kujiandaa kupitisha sheria itakayomfanya Moise Katumbi asigombee urais
huku kundi la watoto Wakatanga nao wakijindaa kupitisha saini ya kuwasilisha maombi yao ya kujitenaga na Congo.
Acha kwanza nicheke [emoji28][emoji13][emoji1][emoji2][emoji38][emoji23] hapa hii vita bado mbichi. Huwezi kukataa candidate ya Moise Katumbi huku ukijua Katanga nao wanatafuta sababu ndogo tu ili wapate kujitenga na Congo.
Sipendi tuwe kama Korea Kaskazini na Korea Kusini
Tayari ndani ya nchi yetu tuna watu wengi ambao asili za mababu zao ni nchi zingine lakini mama au baba zao ni wakongo. Sasa huwezi kutunga sheria ya kutaka kuwatenga hii italeta vurugu.
Watu tunapokuwa tunasema kuwa hii sheria italeta mgawanyo mkubwa nchini watu mnakataa na sio Katanga peke yake watajitenga tu unafikiri katanga akijikata hiyo ndo itakuwa njia kwa majimbo mengine kujikata na Kongo.