International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Polisi wa New York (NYPD) wametakiwa kuwa tayari kwa lolote linaloweza kutokea kutokana na taarifa za Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump kushtakiwa. Kwa siku kadhaa zilizopita kumekuwa na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kamanda wa Polisi wa Kaunti ya Kisumu, Alphonse Wambua amesema Koplo Ben Oduor, alikimbizwa katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) katika Hospitali ya Aga Khan saa 10 jioni na kufariki wakati...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Why Is China Growing So Fast? In 1978, after years of state control of all productive assets, the government of China embarked on a major program of economic reform. In an effort to awaken a...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Ripoti ya Polisi imeeleza watu wengi wamepotea kwenye matope baada ya Dhoruba ya kimbunga, licha ya kutumia mbwa katika msako wa kuwatafuta bado imekuwa ngumu, hivyo wanaamini inawezekana...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Vifari vya Chalelenger vya Uiengereza inasemekana vimeanza kuwasili nchini Ukraine. Makamanda wa Uiengereza wameonesha wasi wasi wa askari wa Ukraine kutokuvimudu kuvitumia vifaru hivyo japo...
7 Reactions
32 Replies
3K Views
India became fifth largest economy last year and today its economy expected to grow at 6.9 for 2023 fiscal year according to the IMF economic review. India's status as the fifth largest economy...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Hii ni baada ya China kukatalia mbali ombi la kuipa Urusi msaada wa silaha, ombi lilikataliwa juzi pale rais wa Uchina alitembelea Urusi. --- Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy said on...
2 Reactions
40 Replies
3K Views
Vita vya Vietnam vilikuwa vita vya muda mrefu, vya gharama kubwa na vya mgawanyiko vilivyoikutanisha serikali ya kikomunisti ya Vietnam Kaskazini dhidi ya Vietnam Kusini na mshirika wake mkuu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Idara ya usalama na ujasusi ya Urusi imepata mafanikio makubwa zaidi nchini Ukraine kuliko jeshi lake, imesema taasisi ya wataalam ya ulinzi ya Uingereza. Mashirika ya kijasusi ya Urusi yalianza...
9 Reactions
48 Replies
3K Views
Watupe raia kiongozi wetu tunayemtaka asilimia kubwa ya wakongo wanampenda Moise Katumbi maana waliona mambo makubwa ambayo alifanya kipindi akiwa Gavana wa Katanga wanataka afanye na hiyvo...
1 Reactions
2 Replies
462 Views
Ikiwa ni chini ya mieze sita tangu kijana mwenye asili ya Tanzania aitwaye Rishi Sunak kushika uwazir mkuu wa Uiengereza.Kijana mwengine mwenye umri wa miaka 37 aitwaye Humza Yousaf wa chama cha...
6 Reactions
64 Replies
4K Views
BRICS imekua ni gumzo huko MAREKANI. Huku kukiwa na hofu ya MAREKANI kupoteza ushawishi Duniani. Inatarajiwa nchi nyingi za Asia zinazo zalisha mafuta zimeomba kujiunga na BRICS. Pia nchi zote za...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Watu kadhaa wanahofiwa kufa baada ya helikopta ya Jeshi la Marekani kuanguka katika Kaunti ya Trigg, Kentucky. Gavana wa jimbo hilo Andy Beshear alisema ni "habari mbay" na "ripoti za mapema za...
0 Reactions
2 Replies
514 Views
Je, BRICS wataweza kuwangusha utawala wa NATO?
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Katika hali isiyotegemewa na wengi rafiki mkubwa wa marekani katika eneo la mashariki ya kati Israel imeionya marekani kukaa mbali na isithubutu kuingilia masuala ya ndani ya taifa hilo rafiki...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Jeshi la Ulinzi la #Botswana (BDF) limesema taarifa hizo zilizoripotiwa na Magazeti kuhusu Wanajeshi kukabiliwa na njaa kutokana na kutokana na kukosa chakula ni za uzushi na hazina msingi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakati Mabara na nchi toka kwenye mabara mengine zinawekeza kwenye mbongo za watu wao, Afrika bado watu wake wanatangatanga kwenye lindi la ujinga na udumavu wa akili unaosababisha umaskini wao...
3 Reactions
5 Replies
537 Views
Russia’s private military group Wagner has taken “full control” of the AZOM metallurgical plant in the north of the city of Bakhmut, according to video posted by Russian state media and verified...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Kabla ya kupitsha sheria hii ya kuwa mkongomani halisi ni lazima uwe mkongo wa baba na mama Ebu tufikirie mara pili au mara tatu Tusipende kutumia nguvu zetu kuzuia mtu fulani kumbe tumekwenda...
0 Reactions
5 Replies
569 Views
Taarifa kutoka Vatican zimeeleza kuwa Papa alianza kupata shida ya kupumua na kukimbizwa Hospitali kwaajili ya vipimo lakini Madaktari wameshauri abaki kwa uangalizi zaidi. Kwa mujibuwa taarifa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom