International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Professor Peller The magician was one of the Nigerians that opened Nigerian to what magic was. He is the father of Shina Peller the popular socialite, he always moved with huge and electrified...
1 Reactions
9 Replies
6K Views
Kuna mazungumzo mengi sana ya kuondokana na ulimwengu ambao taifa moja lina nguvu na ushawishi mkubwa zaidi duniani(unipolar) kwenda kwenye mfumo ambao mataifa kadhaa yatakuwa na ushawashi na...
0 Reactions
3 Replies
837 Views
Ni wakati sasa wa NATO kutumia mapanga. ===== South Africa have refused to sell weapons to Poland. It’s likely that Polish government tried to buy the South African ZT-6 Mokopa ATGM, which can...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Hii conversation ni kwa mujibu wa kinachoendelea pale ukraine. Putin: Atakayeingilia atapata pigo la kihistoria. Biden: Sawa hatutaingilia ila sisi tutampa silaha tu awapigie na tumamluki...
1 Reactions
1 Replies
488 Views
Mwanamke mmoja nchini Zambia amemgeuza mumewe kuwa nyoka mkubwa baada ya kukosea kumpa dawa ya kumfanya ampende yeye tu. Mwanamke huyo alitaka mumewe kushinda nyambani kwa ajili yake peke yake...
8 Reactions
49 Replies
3K Views
Marekebisho hayo yalifanywa na Mfalme wa saudia Mr Mohamed Salman. Ili upate kibali cha kuoa mtoto aliye chini ya miaka 18 ni lazima upate kibali kutoka mahakama maalum na ijidhihirishe kuwa ndoa...
2 Reactions
106 Replies
9K Views
Rais Vladmir Putin amekiri kwamba vikwazo vya nchi za Magharibi vilivyolenga kuinyima njaa Kremlin ya fedha kwa ajili ya uvamizi wake Ukraine vinaweza kuleta pigo kwa uchumi wa Urusi. "Vizuizi...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Jeshi la China limesema litakagua meli zote zinazopita njia ya bahari ya Taiwan. Imesema meli zote zitasimamishwa na kukaguliwa. Taiwan imesema haitakubali meli zake zikaguliwe liwalo na liwe...
11 Reactions
34 Replies
2K Views
Hali sio nzuri Ufaransa Kumekuwa na Maandamano Nchi nzima ya Ufaransa. Kumekuwepo na Hali ya Uvunjifu wa Haki za Binadamu ikiwemo Demokrasia Polisi wanatumia Nguvu na Kupiga Raia Hovyo hovyo...
16 Reactions
215 Replies
12K Views
Jiji kubwa barani africa, Lagos, Nigeria, limetangaza kuwa litafunga baadhi ya misikiti, na makanisa na vilabu vya usiku ili kupunguza kelele zinazowaadhiri wakaazi milioni 20 wa jiji hilo...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
India wanadai ni mkoa wao na wameupa jina "Arunachal Pradesh", Mchina naye ameupa jina "South Tibet" na wote kila mmoja anaamini ni mkoa waliopokezwa na mababu zao na hawapo tayari kuachia hata...
3 Reactions
30 Replies
3K Views
Muda umefika wa kuingia kwenye kiwango kingine cha vita vya kisasa, zaidi ya marubani 7,000 wa drone wamepata mafunzo na wako tayari kupeleka moto kwa kubonyeza bonyeza tu. A Ukrainian official...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Ripoti mbalimbali zinadai kuwa Benki kuu za Urusi na Uchina zimeanza kuondoa akiba ya dola ya Marekani katika hifadhi yake huku biashara zake nyingi zikiendeswa kwa Yuan ya China. Kuhama huku...
9 Reactions
52 Replies
6K Views
General Mark Milley, ambae ni afisa mwandamizi wa jeshi la Marekani, ameamua kuwa muwazi kwa kusema kuwa haitawezekana kwa Ukraine kuishinda Urusi kwenye vita inayoendelea licha ya misaada mikubwa...
16 Reactions
46 Replies
4K Views
Hatari sana maana kwa mwendo huu sijui tunakoelekea, Putin afike sehemu ajue liinchi lake hilo libwaku anaweza akazinguliwa popote na litamshinda... Pia akubali yaishe kwamba operesheni ilifeli...
5 Reactions
37 Replies
3K Views
Udhibiti wa mitaji (Capital controls); Wataalamu wanasema tatizo kubwa la Yuan na sarafu za nchi nyingine nyingi duniani ni sheria na kanuni ngumu za kuhamisha pesa kutoka au kuingia nchini mwao...
6 Reactions
22 Replies
3K Views
A Russian Kinzhal missile, traveling at 12,000 kilometers per hour, 10 times faster than sound, was used today to destroy a Ukrainian weapons depot 136 meters underground. (Look at the...
5 Reactions
45 Replies
3K Views
A Russian Alligator Ka-52 helicopter was destroyed by the forces of the 10th Separate Mountain Assault Brigade "Edelweiss" on 5 April. Source: Serhii Cherevatyi, spokesperson for the East Grouping...
6 Reactions
18 Replies
1K Views
Tutaongea lugha moja hivi karibuni.... A fire has broken out in the Defence Ministry building on Znamenka Street in the centre of Moscow. Source: Russian Kremlin-aligned news outlet TASS, citing...
7 Reactions
58 Replies
3K Views
Rais wa zamani wa Nigeria, Olusegun Obasanjo amewaandikia Barua Maafisa wa Mahakama nchini Uingereza, akiomba #Haki itolewe kwa huruma wakati Seneta wa Nigeria Ike Ekweremadu na Mkewe Beatrice...
0 Reactions
4 Replies
903 Views
Back
Top Bottom