What Russia is doing is to discipline Ukraine

What Russia is doing is to discipline Ukraine

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,952
Reaction score
9,469
A Russian Kinzhal missile, traveling at 12,000 kilometers per hour, 10 times faster than sound, was used today to destroy a Ukrainian weapons depot 136 meters underground. (Look at the astonishment of the American reporter when he suddenly saw this.

 
Nina mashaka na ukweli wa taarifa hii. Urusi amekuwa muungwana sana, sidhani km anaweza kufanya hivyo.
 
Kuna watu bado hawaelew maana ya hii SMO .......hii ni ku demilitarize ukrine plus ku buy time ili kuleta economic hardship Kwa EU

Ukibisha jibu swali hili

Kama hypersonic missile za Russia haziwezi kuwa intercepted.......kwanini asivunje ikulu ya zelensky na hizo missiles....ili kumfuta kabisa .......
.the answer is Russia anapigana friendly ili ku buy time[emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179]

Nukuu
Xi jinping: we're the one driving these changes
Putin: I agree

Je ni changes Gani hizo?????
View attachment 2563131
 
A Russian Kinzhal missile, traveling at 12,000 kilometers per hour, 10 times faster than sound, was used today to destroy a Ukrainian weapons depot 136 meters underground. (Look at the astonishment of the American reporter when he suddenly saw this.View attachment 2562943
Nikukumbuka ule mkwara ati askari wa Ukraine wasipigane, waweke silaha chini kwa usalama wao najiuliza nini kinaendelea. Saa nyingine mtu wa maneno mengi vitendo sifuri.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Urusi anapigana hii vita kiungwana na kwa huruma kubwa sana anajaribu kila mnamna ya kuepusha vifo vya raia
Umeandikiwa au mapenzi ya kishetani??!
Unavamiwa nyumbani kwako mkeo na ww mnabakwa mbele wanao! Mabanda ya uwani anapiga kibiriti! Na wengine kuuawa!
Halafu unatangaza mvamizi muungwana![emoji15][emoji56][emoji12][emoji12]
Hebu eleza maana ya Uungwana!
 
A Russian Kinzhal missile, traveling at 12,000 kilometers per hour, 10 times faster than sound, was used today to destroy a Ukrainian weapons depot 136 meters underground. (Look at the astonishment of the American reporter when he suddenly saw this.View attachment 2562943
We angalia shock wave kwanza ndio utatambua kwaba silaha hiyo si ya kawaida hata kidogo - na hatujui Warusi wana silaha zipi ambazo are even deadeliest!!!

Sina shaka MK254 na Kipanya. wameaza kishihudia kachumbali na chachandu za yule wanaye mwita Super power wa mchongo - na bado makubwa yanakuja ikiwa Zelensky na his handlers wataendelea kujitia kichwa maji kwa kujifanya kutaka kushindana na Russia kijeshi.
 
Nina mashaka na ukweli wa taarifa hii. Urusi amekuwa muungwana sana, sidhani km anaweza kufanya hivyo.
Hapo Putin alilenga ghala la silaha za magharibi zinazo hifadhiwa hapo kwa ajoli ya matumizi ya jeshi la Ukraine and some NATO troops, sina shaka next time Zelensky na washauri wake wa kibeberu watakuwa makini zaidi-ie watafikiria mara mbili kabla awaja jaribu tena kuchezea patience ya Field Matshal Putin.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom