China kukagua meli zote Taiwan

China kukagua meli zote Taiwan

HIMARS

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
73,321
Reaction score
103,591
Jeshi la China limesema litakagua meli zote zinazopita njia ya bahari ya Taiwan.
Imesema meli zote zitasimamishwa na kukaguliwa.

Taiwan imesema haitakubali meli zake zikaguliwe liwalo na liwe

Tayari China imepeleka Meli ya kubeba ndege aina ya Shandong

Hayo yamejili baada ya Rais wa Taiwan kuzuru Marekani na kupokelewa na Spika wa Marekani.
China ilionya kuwa italipiza kisasi kwa Marekani

Je nini kitatokea,tusubiri tuone
 
kwamb Kenya ikague meli za Tz hlf unasema Tz wachokoz , are you imbecil? china has nuclear but its not right Taiwan to have bombs
Kwakifupi Taiwan ingekuwa nchi isiogemea West China asingekuwa mkali kama sasahivi! Tatizo linakuja Marekani kutaka kuidhibiti Pacific kwa mgongo wa Taiwan na Australia!

Na hiki ndicho anakifamya Finland kumtosa Nato! Yeye anachotaka ni kuhakikisha mataifa ambayo hapatinayo kuyafanyia ujasusi na kuyagawa!
 
Modern China haijawahi tawala Taiwan. Chiang Kai Shek alivyokimbilia uko na Kuomitang alianzisha serikali na hawakuwahi vurugana na Mao Zedong mpaka anakufa.

Chiang kaiongoza China kati ya 1928 hadi 1949. Communist Party, Mao Zedong au kiongozi yeyote wa China hawajawahi iongoza Taiwan.
Na China isingekuwa inalazimisha kujikaribisha kwa Taiwan isingekuwepo mgogoro. Bila jeshi hapa Wataiwani huwarudishi chini ya mamlaka ya China. Nani anapenda kufungiwa
 
Kwani nani kasema China alitawala Taiwan? Ila issue inakuja Marekan kutaka kuitumia Taiwan kumdhibiti na kumfanyia ujasusi China! Kitendo cha Marekan kuweka makucha yake pale kutaifabTaiwan iwake moto! China aichukue kama Marekani alivyoichukua kisiwa cha "Hawaii"
 
Kwa ujumla, serikali ya China inaona Taiwan kama sehemu ya eneo lake la ardhi na kwa hivyo inachukulia harakati za uhuru wa Taiwan kama tishio kwa uhuru wake wa kujitawala na uadilifu wa ardhi yake.

China imekuwa ikidai umiliki wa Taiwan tangu mwisho wa vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Kichina mwaka 1949, ambapo serikali iliyoshindwa ya Kitaifa iliikimbia China Bara na kuweka serikali tofauti huko Taiwan. China daima imekuwa ikidai kuwa Taiwan ni sehemu ya ardhi yake na kwamba utengano wa kisiwa hicho ni wa muda tu.

Kwa mtazamo wa China, kuungana na Taiwan ni jambo la heshima ya kitaifa na linachukuliwa kama hatua muhimu katika kurejesha uadilifu wa ardhi ya China. Kwa kuongezea, Taiwan iko katika eneo muhimu kiulinzi katika Bahari ya Taiwan, na udhibiti wa kisiwa hicho ungeipa China faida za kiuchumi na kijeshi muhimu.

Hata hivyo, Taiwan ina serikali yake, uchumi wake na jeshi lake, na watu wengi huko Taiwan hawaoni kama sehemu ya China. Masuala ya uhuru wa Taiwan ni nyeti na yanahitaji diplomasia na makubaliano ya pande zote mbili. Kwa hiyo, kwa sababu nyingi, suala la Taiwan ni tata na linahitaji ufumbuzi wa kibalozi na wa busara kutoka pande zote mbili
 
Wamezishtukia zinasombelea silaha au zinapiga misheni za ujasusi dhidi yao?
 
Technically, China (PRC) ni sehemu ya Taiwan (ROC). Kila mmoja anaweza kuwa na claim hapo, so kila mmoja akae kivyake kama hawaelewani.

Hilo unalosema ni sawa na North Korea inavyosema South Korea ni sehemu yake.
Hakuna technically sheikh, Taiwan na Hong Kong ni sehemu za china,Korea kaskazini na kusini ni nchi moja Ila mataifa tofauti
 
Modern China haijawahi tawala Taiwan. Chiang Kai Shek alivyokimbilia uko na Kuomitang alianzisha serikali na hawakuwahi vurugana na Mao Zedong mpaka anakufa.

Chiang kaiongoza China kati ya 1928 hadi 1949. Communist Party, Mao Zedong au kiongozi yeyote wa China hawajawahi iongoza Taiwan.
Na China isingekuwa inalazimisha kujikaribisha kwa Taiwan isingekuwepo mgogoro. Bila jeshi hapa Wataiwani huwarudishi chini ya mamlaka ya China. Nani anapenda kufungiwa
Chiang Kai alikimbilia huko sababu alijua ni sehemu ya nchi yao(china),hakukimbilia Japan au Korea,alipoenda huko alikuta watu wakiongea mandarin Kama yeye
 
Chiang Kai alikimbilia huko sababu alijua ni sehemu ya nchi yao(china),hakukimbilia Japan au Korea,alipoenda huko alikuta watu wakiongea mandarin Kama yeye
Kwa namna nyingine tunaweza kusema Taiwan ndio iitake China sio China iitake Taiwan
 
Hakuna technically sheikh, Taiwan na Hong Kong ni sehemu za china,Korea kaskazini na kusini ni nchi moja Ila mataifa tofauti
Basi China aichukue hiyo Taiwan. Since 1949 wako hivi hivi wanaishi, nchi haijiamulii kwamba nchi fulani ni nchi yetu mpaka raia wa ile nchi wakubali. Kama hawataki piganeni
 
Back
Top Bottom