你好
China’s Guangdong province is doubling down on expanding its local semiconductor industry to meet growing demand for chips from the region’s carmakers and electronics companies, according to a...
Hadi sasa Ukraine imepewa silaha lukuki za mabilioni ya pesa, lakini imedai kuwa HAZITOSHI!!. Walipopewa HIMARS wakasema sasa watashinda, lakini wimbo wa HIMARS hauimbiki tena, wakataka vifaru...
Zelensky anatia huruma, hataki kuamini kuwa habari za kutekwa Bukhmut ni halisi!! Anatamani iwe ni kama ndoto ili atakapotoka usingizini aseme Ah! kumbe ni ndoto tu. Lakini huo ndio ukweli...
Kiwjingu cha safari za kushtukiza cha raisi wa Ukraine, Zelenky zimempeleka mpaka kwenye mkutanao wa jumuiya ya waarabu jijini Jeddah.
Akiwa ndani ya mkutano huo Zelensky alikiri kuwa ni taifa...
Chama Kikuu cha upinzani cha Democratic Alliance (DA) kimeomba mamlaka ya kupambana na Rushwa na Ufisadi kuchunguza mikataba inayodaiwa kuwa na gharama kubwa kwa ajili ya ukarabati wa nyumba za...
Ndio, mwanachama wa chama cha kikomunisti cha China haruhusiwi kuwa na dini kwa kuzingatia kanuni za kimarx za chama cha CPC.
BEIJING - Wanachama wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC)...
Mchekeshaji Li Haoshi wa China amejikuta kwenye sintofahamu baada ya kupigwa faini ya $ 2 milion ambazo ni sawa na bilioni 4 baada ya kutaja maudhui na msemo wa kishujaa ambao hutumiwa na jeshi...
Kuna siku walisimika bendera usiku wakasema wameiteka Bakhmut yote, siku chache kiongozi wao akaanza kulia lia silaha, akaahidiwa silaha, juzi ghafla akasema wanajeshi wa Urusi wanakimbia...
China has a unique system of selection and election of officials, which Canadian scholar Daniel A. Bell has described as "political meritocracy."
Unlike Western models, China's selection of...
Operation ya Urusi huko Ukraine ni matokeo ya mabaki ya vita vya dunia na sera ya upanuzi wa Irusi ili aweze kufikia pande zote za dunia bila kikwazo.
Kitendo cha Ujerumani kuadhibiwa vibaya...
Chama cha kikomunisti cha China kilianzishwa mwaka 1921 kikiwa na wanachama takribani 50+ mpaka sasa takribani miaka 102 chama hicho kina wanachama wapatao million 96+
Je, ni rahisi au vigumu...
Zimejadili mpango wa kumuua Putin; Marekani yakiri uvujaji wa nyaraka za kijasusi ni jambo hatari.
Marekani imekiri kwamba uvujaji wa nyaraka za siri za Wizara ya Ulinzi wa nchi hiyo, Pentagon ni...
Muziki wa Bakhmut bado tena sana tu, kwanza Ukraine waanza kuzingira Mashariki...hehehe huku Putin akiingizwa mkenge na Wagner na kukimbilia kutoa hongera, hii aibu sana kwa supapawa
Ukrainian...
Kwa wale ambao hamjui miezi kadhaa iliyo pita UK ilitangaza kuipa Ukraine mabomu yaliyo tengenezwa kwa Uraniamu.
Juzi baada ya jeshi la Urusi kudungua ghala lenye silaha lililopo magharibi mwa...
Mpaka hapo imedhihirika hamna jipya ambalo Urusi inaweza kufanya, imeshambulia kwa kila aina ya kombora kasoro nyukila....magharibi wanaendelea kuipa Ukraine jeuri zaidi ya kuilemaza Urusi...
Rais wa Marekani, Joseph Biden akiwa Japan kwenye mkutano wa G7 amesema ametoa ruhusa na atashirikiana na nchi zingine kuwafundisha Marubani wa Ukraine matumizi ya ndege vita aina ya F16.
Hapo...
Nchi 7 zatahadharisha raia wao kuhusu hatari ya kusafiri kwenda Marekani
Nchi zisizopungua saba duniani zimetoa ushauri kwa raia wao wanaonuia kusafiri kwenda Marekani, zikitaja wasiwasi mkubwa...
Kiongozi mkuu wa kundi la Wgner(PMC) amelituhumu kundi la wanajeshi wa Urusi kwa kuyakimbia maeneo yao waliyokuwa wanayakalia karibu na mji wa Bakhmut mashariki mwa Ukraine, katika shutuma zake za...
Waziri wa Biashara wa Uingereza Dominic Johnson hivi karibuni alifanya ziara mjini Hong Kong, China, akiwa na lengo la “kuihimiza Uingereza kupata uwekezaji na biashara zaidi”. Hata hivyo, bado...
Jeshi la China linasema liko tayari kuharibu harakati za aina yoyote za uhuru wa Taiwan, huku Marekani ikijiandaa kuharakisha uuzaji wa silaha za kujihami kwa demokrasia ya kisiwa kinachojitawala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.