Tujulishane kinanacho endelea kwenye uchanguzi nchini Uturuki.

Tujulishane kinanacho endelea kwenye uchanguzi nchini Uturuki.

ITR

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
7,670
Reaction score
20,753
Jamani mwenye apdate kutoka vyanzo mbali mbali kuhusu kinacho endelea kwenye uchanguzi wa raisi nchini Uturuki tufahamishane.
Ila Edorgan akinusulika kwenye uchanguzi huu itabidi akatambike kwenye mizimu ya babu zake maana anakabiliwa na upinzani usio kuwa wa kawaida, lakini pia akishinda sintashangaa maana na mwenyewe ni mafia wa kufa mtu hasa pale anapo ona mambo yanaenda ndivyo sivyo kwa upande wake.
 
Mpaka sasa Ergodan anaongoza kwa 55% dhidi ya mpinzani wake ambaye ana 39%. Matokeo haya ni kutokana na 21% ya kura zilizohesabiwa. Hii ngoma bado ni mbichi..
 
.
20230514_211110.jpg
 
Mpaka sasa Ergodan anaongoza kwa 55% dhidi ya mpinzani wake ambaye ana 39%. Matokeo haya ni kutokana na 21% ya kura zilizohesabiwa. Hii ngoma bado ni mbichi..
Ila Edorgan pamoja na mapungufu yote aliyo nayo ni moja wapo ya mtu aliye changia Uturuki kuwa taifa imara kiuchumi na kijeshi.
 
Ila Edorgan pamoja na mapungufu yote aliyo nayo ni moja wapo ya mtu aliye changia Uturuki kuwa taifa imara kiuchumi na kijeshi.
Ni kkweli ila hali ya uchumi saivi ni mbay sana alafu wananchhi wengi wanamuona kkama dikteta baada y kujiongezea madarakaa zaidi
 
Jamani mwenye apdate kutoka vyanzo mbali mbali kuhusu kinacho endelea kwenye uchanguzi wa raisi nchini Uturuki tufahamishane.
Ila Edorgan akinusulika kwenye uchanguzi huu itabidi akatambike kwenye mizimu ya babu zake maana anakabiliwa na upinzani usio kuwa wa kawaida, lakini pia akishinda sintashangaa maana na mwenyewe ni mafia wa kufa mtu hasa pale anapo ona mambo yanaenda ndivyo sivyo kwa upande wake.
Rais Tayyib Receb Erdoğan anashinda leo katika uchaguzi Mkuu wa Uturuki ninatabiri mimi hivyo.


Hapa Rais Erdoğan amepanga foleni ya kupiga kura jamaa anaangalia nyuma anamuona Rais yupo nyuma yake amestuka sana kumuona Rais Erdoğan amepanga foleni ya kupiga kura pamoja na Wananchi wake.
 
Ni kkweli ila hali ya uchumi saivi ni mbay sana alafu wananchhi wengi wanamuona kkama dikteta baada y kujiongezea madarakaa zaidi
Dah ngoja tuone ila akichomoka hapa sijui.
 
Dah ngoja tuone ila akichomoka hapa sijui.
Rais Erdoğan leo Anashinda kwani chama cha upinzani ni chama cha kibaguzi kama vile chama alichokuwa nacho Rais wa Zamani wa Amerika Mr Donald Trump hakipendi wageni kuwepo nchini mwao.
 
erdogan ni mpuuzi tu bora apigwe chini,harakati zake kule syria huwa sizielewi kabisa
 
Anashida kwani chama cha upinzani ni chama cha kibaguzi kama vile chama alichokuwa nacho Rais wa Zamani wa amerika Mr Donald Trump hakipendi wageni kuwepo nchini mwao.
Kutokupenda wageni ni tabia ya wanadamu wote duniani hata Japan, Wazulu, Israel, Saudi, DRC nao hawapendi wageni.
 
Kutokupenda wageni ni tabia ya wanadamu wote duniani hata Japan, Wazulu, Israel, Saudi, DRC nao hawapendi wageni.
Kutokupenda wageni na Waislam ndipo kuliko mfanya Rais Trump alishindwe katika uchaguzi uliopita kwani Wageni wote nchini Amerika walimpigia kura za ushindi Rais wa sasa Mr Biden na hivyo hivyo Nchini Uturuki wageni waliopata Uraia wa Uturuki watampigia kura ya ushindi Rais wa Uturuki Mr Erdoğan ili ashinde katika uchaguzi uliofanyika leo Jumapili.
 
Kuna kila dalili uchaguzi ukaitishwa duru ya pili kwasababu mpaka sasa hakuna aliye shinda asilimia 50 ya kula.
Ndio Uchaguzi waRais utarudiwa tena Tarehe 28/05/2023 Kwani aliye shinda ni Rais Erdoğan lakini hajapata kura asilimia 50 amepata kura asilimia 49%46 kwa hiyo utarudiwa tena uchaguzi waRais mnamo tarehe 28/05/2023 uchaguzi wa wabunge hautarudiwa kwani Chama cha Rais Erdoğan kimepata wabunge 323 wakati chama cha upinzani kinacho ongozwa na MR Kemal kimepata wabunge 212 kwa hiyo uchaguzi wa wabunge hautarudiwa tena hapo. https://www.trtworld.com/?gclid=Cj0...jSR-ye9ea_oBfRUq_ZhD5fNY1qx9eS-saAuqaEALw_wcB


 

Similar Discussions

Back
Top Bottom