Ndege ya abiria iliyoundwa Iran yafanyiwa majaribio kwa mafanikio
Ndege ya abiria na mizigo ya iliyopewa jina la Simorgh imeundwa kikamilifu na wataalamu wa Shirika la Viwanda vya Anga la Wizara...
Slava Ukraini
Urusi ni wazi kuwa toka ukomunisti uanguke haina Jeshi imara tena ndio maana wakakodi Wagner Group kuwasaidia kupigana na Ukraine
Hii vita imefichua siri za Jeshi la Urusi kuwa...
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amesema mauaji yametokea katika shambulizi la Al-Shabab kwenye kambi ya walinda amani wa Umoja wa Afrika Nchini Somalia.
Wiki iliyopita Museveni alisema kumetokea...
Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imeitaka Serikali ya Sudan kutoa maelezo kuhusu shambulio hilo lililofanywa katika eneo linalokaliwa na Wananchi wasio na Silaha ikiwemo...
Habari wana jamvi.
Maandamano makubwa yanaendelea Senegal nzima baada ya kiongozi wa upinzani Ousmane Sonko kuhukumiwa kifungo cha miaka miwili jela kwa kosa la kulaghai watoto chini ya miaka 21...
Huyu mzee hehehe eti ndiye tegemezi la Warusi na anavyofyatuka.... asema hizo ni ndoto za mchana
Russia's claims that its military had inflicted massive casualties on advancing Ukrainian troops...
‘Large-scale’ Ukrainian offensive repelled – Russian MOD
Kiev’s troops have unsuccessfully attempted to break through the front line in Donbass, the Defense Ministry in Moscow has said
FILE...
Tume ya Biashara ya Shirikisho (Federal Trade Commission) imedai kuwa kuanzia 2015 hadi 2020, Microsoft ilikusanya taarifa binafsi za watoto wa chini ya miaka 13 ambao walijiandikisha kwenye mfumo...
Je, Uamuzi wa Russia kuivamia Ukraine ni mbinu au mkakati ulioshindwa (Strategic Failures)? hili ni swali linahitaji majibu.
Sababu mojawapo iliyotolewa na Russia kwa kuhalalisha uvamizi wake...
Wakuu habari za majukumu
Nimeona Kwa takribani majuma kazaa jukwaa letu limejaa nyuzi za kujilipua namimi nikasema ngoja nijaribu kuandika chochote kuhusu kuingia USA nilichojifunza Kwa Nigeria...
Haya yamesemwa na kiongozi wa Wagner, ambaye kila siku anatoa matamko baada ya kukimbia mapambano ya Bakhmut
June 2 (Reuters) - Russian mercenary boss Yevgeny Prigozhin, who has been arguing with...
Msharau wa Moise Katumbi, Solomon askadela kalonda Jumamosi alikamatwa na Jeshi la Kongo kwa tuuma za kutaka kupindua serekali ya Felix Tshisekedi kwa kushirikiana Na kikundi cha M23 pamoja na...
Mauaji hayo yametokea katika vijiji sita Kaskazini mwa Nigeria, eneo ambalo hukumbwa na ghasia za uhalifu na mapigano kati ya jamii mara kwa mara.
Wakazi kutoka vijiji viwili kati ya...
Hivi majuzi, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilipitisha azimio la kuongeza muda wa vikwazo dhidi ya Sudan Kusini hadi Mei 31, 2024 kwa kura 10 za ndio na 5 hazikupigwa. Cha kusisitizwa ni...
Hawa wazalendo wamedhamiria kuichukua nchi yao kutoka kwa Putin na wamefanya maandalizi makubwa sana ya kufika Moscow, wasichukuliwe poa.....
Wapo radhi kujitoa mhanga na kufa kwa maelfu hadi...
Dunia ipo kimya kwa watu wa Belgorod wanaopigania Uhuru wao dhidi ya serikali inayodhulumu haki zao. Ila haikukaa kimya wakati watu Cremia, Donesk etc walipotaka uhuru wao toka kwa Ukrein...
Wanajeshi watatu wa Israeli wameuwa kwa kupigwa risasi na Wamajeshi wa Misiri na kupelekea wasiwasi mkubwa sana wa hizo chi kukinukisha vibaya. Wote ni washirika wa Marekani sasa tungoje tuone
Putin atakuwa chizi hivi karibuni.
Kundi la mamluki la Wagner linasema kuwa linamshikilia mwanajeshi wa jeshi la Urusi, ambaye anadaiwa kulifyatulia risasi gari la Wagner nchini Ukraine. Katika...
Wanajeshi wa Urusi wameanza kukamatwa mateka na waasi, supapawa hali tete.
========
Fighters opposed to the government in Moscow say they have have captured two Russian soldiers in Belgorod...
Slava Ukraine
Kipindi cha vita kuu ya dunia Russia ilikuwa na wapiganaji hatari wa vita kipindi cha baridi kali na kwenye maeneo yenye barafu kali nzito
Sijui Russia kimewapata nini mwaka jana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.