Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump anatarajiwa kufikishwa katika Mahakama ya Miami akikabiliwa na makosa saba yakiwemo ya kumiliki nyaraka za siri za Serikali.
Wakili wa Trump ameweka wazi...
RFK Jr.,the person who America needs for President reveals terrible truth about Ukraine that the Pentagon concealed from Americans
June 9, 2023
“What we’re doing in Ukraine now is just a massive...
Johnson ambaye amewahi kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza na baadaye kujiuzulu kutokana na sakata la Brexit, amefikia uamuzi baada ya Kamati ya Haki za Bunge kubaini alipotosha Bunge na hivyo...
Turkey seizes $1 bln of counterfeit money headed for African countries
Reuters, Istanbul
Published: 09 June ,2023: 09:37 PM GSTUpdated: 09 June ,2023: 10:01 PM GST
Turkish security forces seized...
SUPPORT US
[https://img]
[https://img]
Russians lost 28 artillery systems, 18 tanks and 15 UAVs in one day
IRYNA BALACHUK — THURSDAY, 8 JUNE 2023, 08:28
[https://www]17326...
Warusi wanaendelea kukosa amani ndani kwao...
Three people were lightly wounded after a drone crashed into a residential building in southwestern Russia near Ukraine, a regional governor said...
Duuuh hawa wairan nahisi sio binadamu wa kawaida hiki sijui ni kizazi cha wapi jamaa wamefika mbali mnoo
Iran yazindua kombora lake la kwanza la Hypersonic la 'Fattah'
Jun 06, 2023 07:45 UTC...
ETHIOPIA YAKOSOA UN KWA KUSITISHA MSAADA WA CHAKULA, YASEMA MAMILIONI WATAATHIRIKA
Serikali ya Ethiopia imekosoa hatua ya mashirika mawili makubwa ya misaada kusitisha upelekaji wa msaada wa...
Wiki iliyopita Ukraine walidai kuwa wamefanikiwa kuangamiza kombora la urusi (hypersonic missile), lakini baadaye ikaonekana kuwa siyo. Na leo mji mkuu wa ukraine ulishambuliwa vibaya na ukraine...
Wabahrain waujia juu ubalozi wa Marekani mjini Manama kwa kutangaza ushoga nchini humo
Wananchi wa Bahrain wametangaza hasira na masikitiko yao kutokana na kuwekwa bendera ya mashoga na...
Juzi kati hapa nakumbuka genge la Ukraine lilisema limedungua makombora yote ya Urusi na hayajaleta madhara yeyote.
Baadae waziri wa ulinzi wa Urusi akasema sio tu hayajadunguliwa lakini pia...
Magaidi wa alshabaab kule Somalia wenye mlengo wa dini walijaribu kuvamia kambi ya Wahabeshi, Ethiopians, walianza kwa kujilipua lipua ila wakakuta wamesubiriwa na kupokea kichapo...
Chama tawala nchini Nigeria kimemchagua kiongozi wake wa kitaifa Bola Tinubu kuwa mgombea wake wa urais kwa uchaguzi ujao wa 2023 ambapo atashindana na kiongozi wa upinzani Atiku Abubakar...
Sijaelewa nini huyu mzee anachokitafuta, amesema wakuu wa majeshi ya Urusi waliokiuka haki za kibinadamu wakamatwe wote.
Alitoroka mapambano, kila siku anatoa matamko.
===
Russia's most...
Intelligence kali ya Taifa jirani zamnusuru Rais mupinduliwa. Ilikuwa apinduliwe 15/6/2023. Bahati yake ni kuwa na intelligence kali kila idara ya utumishi wa Umma.
Sasa mzee analisuka jesjhi...
Mapigano ya Bakhmut nimeyafuatilia kwa kina bila Upendeleo wowote ule. Ukweli uko hivi:
1.Wapiganaji wa WAGNER kazi yao ni kuuteka mji wa Bakhmut(City centre) wakitokea Mashariki mwa Dotnesk...
Katika hali ya kuzidi kuimarika mahusiano kati ya India ambaye ni mwachama wa BRICS na West, Kampuni moja ya Ujerumani inategemwa kupewa kandarasi ya mabilioni ya Euro kutengeneza nyambizi 6 za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.